ok...Kichwa cha habari chahusika.
..alichofanya Katunga ni utoto.
..kama kuna siku mahakama imedhalilishwa basi ni ktk final submission ya Katunga.
..ndio maana hata wenzake hawakutaka kuongeza lolote.
..haiwezekani kuwe na kesi ya uhaini halafu muendesha mashtaka awaambie majaji eti wanaweza kutoa hukumu ya kifungo miaka sifuri.
Kesi ya Kisiasa hii, uamuzi wa mahakama usije kukushangaza...Kichwa cha habari chahusika.
..alichofanya Katunga ni utoto.
..kama kuna siku mahakama imedhalilishwa basi ni ktk final submission ya Katunga.
..ndio maana hata wenzake hawakutaka kuongeza lolote.
..haiwezekani kuwe na kesi ya uhaini halafu muendesha mashtaka awaambie majaji eti wanaweza kutoa hukumu ya kifungo miaka sifuri.
Mazafakas walijua tangu mwanzo kwamba hawakuwa na tenable treason case, lakini nia yao ilikuwa kumweka Lissu nyuma ya nondo kwa tuhuma za kutenda kosa lisilo na dhamana!..Kichwa cha habari chahusika.
..alichofanya Katunga ni utoto.
..kama kuna siku mahakama imedhalilishwa basi ni ktk final submission ya Katunga.
..ndio maana hata wenzake hawakutaka kuongeza lolote.
..haiwezekani kuwe na kesi ya uhaini halafu muendesha mashtaka awaambie majaji eti wanaweza kutoa hukumu ya kifungo miaka sifuri.
Mazafakas walijua tangu mwanzo kwamba hawakuwa na tenable treason case, lakini nia yao ilikuwa kumweka Lissu nyuma ya nondo kwa tuhuma za kutenda kosa lisilo na dhamana!