Shubiri mwitu (aloe) tiba ya magonjwa ya kuku

Shubiri mwitu (aloe) tiba ya magonjwa ya kuku

achengula

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
369
Reaction score
62
Shubiri mwitu (Aloe au Aloe vera) ni mmea ambao umekuwa ukitumika kwa kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu na mifugo. Mmea huu unatumika sasa kutengeneza sabuni, dawa za binadamu na wanyama na mambo mengine mengi. Na kwa sababu ya madawa mengi ya kiwandani kushindwa kutibu baadhi ya magonjwa kwa kuwa wadudu wametengeza ukinzani dhidi ya dawa hizo, ipo haja kubwa ya kuweka umuhimu kwenye madawa ya asili yatokanayo na mimea. Mmea wa shubiri mwitu unauwezo wa kutibu magonjwa ya kuku hasa coccidiosis na kwa kiasi fulani Newcastle disease.
Endelea kusoma hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA ili ujue namna ya kuutumia kutibu magonjwa ya kuku.
 
Hivi chanjo za kuku wa kienyeji ni zipi?
Na huo mualovera ni kwaajiri ya chanjo au tiba.
 
Back
Top Bottom