Shubiri,tiba ya tumbo

Shubiri,tiba ya tumbo

MKUNGA

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
441
Reaction score
71
wadau,

naomba msaadajuu ya dawa chungu (huenda kuliko zote) shubiri. Jee dawa hii inatibu tumbo kwa watoto hasa wa kiume?nimemsikia mama mmoja akisema.

Msaada wenu tafadhali maana baby boy wangu huwa analia sana ila nimewapiga stop wasimpe shubiri bila medical advice.

Nawasilisha
.
 
Back
Top Bottom