Shugamami anataka nitumie pesa zake

Huyu jamaa alisha kuja hapa na habari za ushoga,....
leo kawekwa ndani na jimama ohooooo,...
waulize wenzako wa mombasa wanavo fanywa + kuchapwa na majimama yao.

Link tafadhali...
 
Mwanamume rijali unakubali vipi kulelewa? Acha mara moja. Unapotezewa muda, unapumbazwa akili, unapotezewa uwezo wa kusimama peke yako na kujitegemea. Acha bwanaaaaaa, zinduka!
 
Huyu jamaa alisha kuja hapa na habari za ushoga,....
leo kawekwa ndani na jimama ohooooo,...
waulize wenzako wa mombasa wanavo fanywa + kuchapwa na majimama yao.

we jamaa masaburi yako yanakuwasha kweli nani alileta stori za ushoga?we chadema nn.
 
kubali mwaya mradi we ndio mwanaume ndani ya nyumba
 
unapendaa kulelewaeee?
huyo shugamimi akikuacha utapata shugadady! lol
 
Iron finger, JF tayari ina member kibao, ukipungua wewe si hasara sana. Nenda tu kaolewe uondoke na ngoma.
 
Kama wewe ni King Kong kweli achana na mambo ya kumtegemea mwenzako,una hakika gani kama yeye atakuwa na wewe peke yako ukishaacha shughuli yako?weka msimamo mtoto wa kiume mpe ukwli wake,kama anakupenda kweli akupe uhuru ufanye mambo yako na si kufugwa kama ndege.
 
Kila kitu ni maelewano na kupendana, kama huyo shugamami wako mnaelewana vizuri na kuaminiana, sijaona ubaya wake kukufungulia ofisi, labda kaona hizo mishemishe zako hazilipi?
Usiogope kila lisemwalo, kila mwanamke ana tabia zake tofauti uenda mpenzi wako akawa ni mtu mzuri tu!

Ila na yeye asije kuomba ushauri JF kwamba kuna ka-serengeti boy nakafungulia duka, sasa wadau mnishauri nikafungulie au vipi, maana kanaweza kupata saizi yake kakanimwaga?
 

Nina ushauri kwa huyo unayemuita Sugamami wako; bahati mbaya huenda hapiti humu. Ila nina mpa pole sana kuwa na kimtu kama wewe, kwa kifupi nilitaka kumuambia akufanye kama toyboy tu, akutumie na kukulipa kila anapokuhitaji na si kukufanya uonekane mjini. Nipe contacts zake ili nimfundishe jinsi ya kuwatumia sex machine kama wewe!
 

Umeiona hiyo; hapo hakuna mapenzi wala nini, mdada anataka mkunaji (possibly kapenda kiukwelii) lakini ki-serengeti kinataka financial support!
 

Tumia ndugu yangu coz UMEISHAAMUA KUOLEWA RASMI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…