Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Aug 6, 2023 #1 Hakika shughuli yao imejaa Sana kutokana na wingi wao hata takwimu za sensa zinathibitisha hilo kuwa wapo wengi kutuzidi. Pia bei ya vijora ni nafuu kuliko bei ya suti๐ Alisikika mwana Yanga mmoja kwenye kibanda umiza.. NB: sote ni wanawake Mungu
Hakika shughuli yao imejaa Sana kutokana na wingi wao hata takwimu za sensa zinathibitisha hilo kuwa wapo wengi kutuzidi. Pia bei ya vijora ni nafuu kuliko bei ya suti๐ Alisikika mwana Yanga mmoja kwenye kibanda umiza.. NB: sote ni wanawake Mungu
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Aug 6, 2023 #2 Kama kwel hv ๐๐
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Aug 6, 2023 #3 ukweli utakuweka huru
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Aug 6, 2023 Thread starter #4 Mpaji Mungu said: Kama kwel hv ๐๐ Click to expand... Ndio ukweli Ila sio maneno yangu nimenukuu
Mpaji Mungu said: Kama kwel hv ๐๐ Click to expand... Ndio ukweli Ila sio maneno yangu nimenukuu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Aug 6, 2023 #5 Kwani wameletwa kama kwenye kampeni? Haya ni mapenzi ya soccer
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Aug 6, 2023 Thread starter #6 Slim5 said: ukweli utakuweka huru Click to expand... Shughuli yao imependeza
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Aug 6, 2023 Thread starter #7 Mtoto halali na hela said: Kwani wameletwa kama kwenye kampeni? Haya ni mapenzi ya soccer Click to expand... Utani tu wa jadi mkuu
Mtoto halali na hela said: Kwani wameletwa kama kwenye kampeni? Haya ni mapenzi ya soccer Click to expand... Utani tu wa jadi mkuu