Uchaguzi 2020 Shughuli imeanza CCM, Mgombea wa CCM Arumeru achukua fomu za uteuzi

Uchaguzi 2020 Shughuli imeanza CCM, Mgombea wa CCM Arumeru achukua fomu za uteuzi

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Kumekucha kanda ya kaskazini.

Mbunge na mgombea wa ubunge Arumeru Mashariki achukua fomu kwa kishindo.

Wanajaribu kumjibu "Mbeba Maono" wanasahau yule ni level nyingine.
 
Salamu kwa wapinzani. Shughuli ndio imeanza kwa ufupi/in brief
 
Wanasaga soli halafu mwenzao after 5yrs anakunja 200+mlns huku kazi kubwa ikiwa kuimba pambio za kusifu
huyo jamaa ni kisu .ni mamba ...ni bilionea wa Arusha hana shida ndogo ndogo
 
Huyo ndio mgombea wa ubunge katika jimbo linalopatikana ganja na shule bora nchini..ha ha ha

A.K.A kisimiri Chini
 
Tumeanza Kazi...
IMG-20200821-WA0076.jpg
 
Ingekuwa cdm ungesikia mamilioni wamsindikiza mbunge kuchukuwa form. Lissu anataka malori ya kubebea fomu za majina ya walio mdhamini. Poor cdm!!.
 
Ingekuwa cdm ungesikia mamilioni wamsindikiza mbunge kuchukuwa form. Lissu anataka malori ya kubebea fomu za majina ya walio mdhamini. Poor cdm!!.
Hahaa maelfu wajitokeza kumsindikiza mgombea.​
 
Back
Top Bottom