Kampeni wala sio za kuanzamapema,mwakahuu ni mwepesi sana,ni kubuluza tu kuanzia kwenye kata mpaka majimbo na taifa.Hapo hatujaanza kampeni
Ccm mbona hamjawahi kuipenda nchi?Imekwisha hiyo!!
Kumbe na nyinyi mnapenda nyomi ?Tumeanza Kazi...
View attachment 1544316
Naona ulikuwepo hapo unaruka na kukanyaganalevel yake imejibiwa na jimbo moja tu...hapo tumetest mitambo tu
Humjui mshindani wako mpaka hapo ushashindwamgombea wa CDM ni nani vile??