Shughuli imeanza: Simba wanyimwa escort ya Polisi Jo Burg

Shughuli imeanza: Simba wanyimwa escort ya Polisi Jo Burg

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Tunasubiri kwa hamu kama litajitokeza kanjanja lolote huko south africa kufanya interview huku kwetu na kuandika makala ndeefu kuelezea jinsi Orlando pirates walivyowanyima simba escort ya police leo wlipowasili huko kwao

orlando.PNG
 
Bado wazee wa mikazo na kushesha, wakikutana nao ndio akili zitawakaa sawa.
 
Bado wazee wa mikazo na kushesha, wakikutana nao ndio akili zitawakaa sawa.
Yes Yes listueni lile kanjanja lenu lakuandika makala za english na kum quote Abdi banda liandike makala nyingine chapchap iruke huko kwa wazulu, eheee mnasikia rahaaaaa utopolo au siyo?
 
Orlrando wafanye wawezavyo lakini balaa awaliepuki.
Mkuu ukisikia kanjanja lolote la south africa limeandika makala kuhusu hii issue au kufanya interview ya kuipondea orlando naomba nistue au kule moroko ambapo Almasry walizimiwa taa wakati wa mazoezi na Rs Berkane kama kuna kanjanja la kiarabu limefanya interview na Tv za Egypt kukandia team yao na kusema inafanya dirty tricks naomba nistue
 
Yalitatajiwa haya baada tu ya Kauli ya yule Kocha.

La msingi ni kufocus kwenye game tu..!
Tatizo Wachezaji wetu hawa zikianza figisu ndio hawawezi kabisa kucheza mpira. Huwezi walinganisha na wale wa Afrika Magharibi.
 
Tatizo Wachezaji wetu hawa zikianza figisu ndio hawawezi kabisa kucheza mpira. Huwezi walinganisha na wale wa Afrika Magharibi.
Ndo maana nikasema Simba SC wafocus kwenye kutafuta matokeo ya ushindi.

Ukubwa wao waonyeshe kushinda mchezo kwenye mazingira magumu.
 
Back
Top Bottom