shughuli itaanzia 28 hiyo tutakinikusha anajifanya hasikii hakuna amani na mafisadi

Write your reply...hahaha kila siku tunapaka washeri mafuta madogo kama wewe
 
Hii vita ni nyepesi sana kwa wananchi kipindi hichi maana waliopo kwenye vyombo wengi wanaunga mkono…Si ajabu baadhi ya askali watakuwa wanaonesha wananchi sehemu za kupiga moto…the fall is from within…
 
Mpka naogopa
 
Mkuu unakumbuka hii comment tulichokuwa tuna discuss kwenye ule uzi.
Na ndivyo ilivyokwenda.

Yawezekana Tanzania ikawa ya MwiSho kukombolewa, hata Burundi watatutangulia

Umewaza kama mimi,nahisi kuna jamaa watakaojichanganya na raia. Hao ndio watakuwa front kufanya maelekeo na kuleta chaos.
 
Askari polisi waki jifanya kulinda wezi na familia zao waendelee kuishi vizuri watakua wajinga sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…