LGE2024 Shughuli mbalimbali zasimama Arusha, zoezi la upigaji kura likiendelea

LGE2024 Shughuli mbalimbali zasimama Arusha, zoezi la upigaji kura likiendelea

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Wakati wananchi wakijitokeza kupiga kura katika maeneo mbalimbali kuchagua viongozi wa serikali za mitaa, baadhi ya shughuli ikiwemo wafanyabiashara kufunga maduka yao, kupisha upigaji kura unaoendelea kote nchini.

Sehemu mbalimbali za biashara ikiwemo maduka mengi kuchelewa kufunguliwa. Tofauti na siku zingine maduka hayo hufunguliwa mapema, lakini leo hali imeonekana kuwa tofauti na siku zingine ambapo maduka mengi yalianza kufunguliwa.

Maduka mengi hususani yaliyopo Barabara ya Uhuru na maeneo mengine hadi saa tatu asubuhi yalikuwa hayajafunguliwa ambapo baadhi yao yameanza kufunguliwa saa nne.

Screenshot_20241127-122100.png
 
Si waliambiwa wakipiga kura wakatafute pesa na yule mkuu wao wa mkoa chizi
 
Back
Top Bottom