Shughuli za Mahakama zinaingiliwa kwa bahati mbaya?

Shughuli za Mahakama zinaingiliwa kwa bahati mbaya?

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,635
Reaction score
2,271
Tanzania siku hizi ni kawaida kuona au kusikia watu wakiingilia shughuli za Mahakama. Hii inatokana na watu kutojua sheria au Mahakama yenyewe inaruhusu kuingiliwa?

Nawasilisha.
 
Si kuna mhimili uliojichimbia zaidi ? Labda mizizi yake ndio inaingia mpaka huko mahakamani 🐒
 
Back
Top Bottom