M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,635 Reaction score 2,271 Aug 11, 2021 #1 Tanzania siku hizi ni kawaida kuona au kusikia watu wakiingilia shughuli za Mahakama. Hii inatokana na watu kutojua sheria au Mahakama yenyewe inaruhusu kuingiliwa? Nawasilisha.
Tanzania siku hizi ni kawaida kuona au kusikia watu wakiingilia shughuli za Mahakama. Hii inatokana na watu kutojua sheria au Mahakama yenyewe inaruhusu kuingiliwa? Nawasilisha.
Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 Aug 11, 2021 #2 Yani mpaka IGP anazungumzia ishu iliyoko mahakamani na mhimili umekaa kimya tu.
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Aug 11, 2021 #3 Si kuna mhimili uliojichimbia zaidi ? Labda mizizi yake ndio inaingia mpaka huko mahakamani 🐒