Shughuli za makabila wawapo mjini

Shughuli za makabila wawapo mjini

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Kila kabila au mkoa una utambulisho wao hapa mjini Dar

1. Watu kutoka Tanga
Hawa hujulikana kama waganga wa kienyeji,
Yaani ukimwambia mtu unatokea Tanga mtu atakuwazia mganga tu
Kwa wanawake wa Tanga Huwa wanasifika Kwa mahaba japo binafsi sijawahi kukutana na Binti wa Kitanga

2 Waha, watu wa Kigoma
Hawa hutambulika kama wachapakazi na wachuuzi
Shughuli Yao kuu ikiwa kukopesha vyombo

3 Wakurya kutoka Mara
Hawa shughuli Yao ni kufuga
Dar hujitambulishq sana sana Kwa shughuli za kuuza maziwa na mayai na kuku

4 Wagogo kutoka Dodoma
Hawa wengi hufanya biashara ya butcher
Wanauza nyama, ukiwa Bagamoyo hawa ni maarufu Kwa kuiba mifugo hasa mbuzi

5 Wakinga
Hawa ni wafanya biashara wakubwa
Yaani mtu ukimwambia we ni Mkinga atajua una biashara Kariakoo

6 Wachaga
Hawa hupenda biashara ya duka na Bar
Bar nyingi humilikiwa na Wachaga

7.wamakonde, watu kutoka ukanda wa kusaini
Hawa hufanya biashara ya mazao, kuuza vyakula kwenye masoko mengi utawakuta

8 Wapemba
Hawa huuza vitafunwa
Kama mandazi, kababu, chapati, kacholi n.k

9 Wahaya, watu kutoka Kagera
Hawa hufanya kazi smart, hasa za maofsini sio wazuri sana kwenye biashara
Kwasasa wamejiingiza kwenye udalali

10 Wanyakyusa
Hawa wengi Huwa mafundi wazuri wa majengo, kuanzia kujenga, kupauwa na rangi

11. Masai
Masai hutambulika Kwa shughuli za ulinzi

12 wanyiramba
Hawa hutambulika Kwa kuuza viungo vya jikoni

13 wazaramo/ wadengereko
Hawa Huwa hawataki shida
Ni kucheza Ngoma, shughuli Yao kuu ni kuuza dagaa Michele na samaki Kwa kiwango cha chini

14 wasukuma
Hawa ni wataalam wa biashara ya nafaka, huuza Michele, maharage, mahindi nk
 
wachaga ni bar hakika kabisa hakuna mkoa utaenda tz utakosa bar ya mchaga ingawa wapo kila sekta katika kuuza supu wapo ,madereva wa matraki wapo, phone accessories wapo, biashara ya mazao wapo ,nguo wapo ila dar ndio sana ,hardware wapo ,skelper wapo, kilimo wapo ,kwa mbalii kwa akina dada kujiuza wapo kwa mbaliiiii kwa akina kaka kuliwa yap wapo.
 
Back
Top Bottom