Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ndio tatizo la kuwa na serikali ambayo iko so disorganized, kila Mtu anaongea lake, tumejenga nyumba za kujifukiza, tukaharibu na mimea lakini vyote vimeachwa.
Leo hii Wizara imetoa tamko la kuzuia mikusanyiko na kuchukua tahadhari dhidi ya Covid 19 ila cha kushangaza Shughuli za mwenge zinaendelea kama kawaida.
Tutegemee mamabukizi na vifo vya kutosha, sio utabiri Bali ni matokeo ya ujinga wa CCM huko wakitumia Polisi kubambika kesi za keshenzi kwa Viongozi wa Upinzani. Na Wallah mtaisha kwa Corona mwaka huu