Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Basi wataamua kuzika au kusafirishaMwenge ni tambiko la kupumbaza watu..
Hautazuiwa..tambiko lazima liendelee
Wacha wapate corona wafeWizara: Corona ipo na imepamba moto, wananchi wachukue tahadhari
Ukitembelea Kimara nitafute.Ndio tatizo la kuwa na serikali ambayo iko so disorganized, kila Mtu anaongea lake, tumejenga nyumba za kujifukiza, tukaharibu na mimea lakini vyote vimeachwa.
Leo hii Wizara imetoa tamko la kuzuia mikusanyiko na kuchukua tahadhari dhidi ya Covid 19 ila cha kushangaza Shughuli za mwenge zinaendelea kama kawaida.
Tutegemee mamabukizi na vifo vya kutosha, sio utabiri Bali ni matokeo ya ujinga wa CCM huko wakitumia Polisi kubambika kesi za keshenzi kwa Viongozi wa Upinzani. Na Wallah mtaisha kwa Corona mwaka huu
Nitakuja tuUkitembelea Kimara nitafute.
Una beer zako tatu
kile kirusi kina kuwa hatari tu endapo mikusanyiko ni ya chadema.ccm ni kichwa cha mwenda wazimuNdio tatizo la kuwa na serikali ambayo iko so disorganized, kila Mtu anaongea lake, tumejenga nyumba za kujifukiza, tukaharibu na mimea lakini vyote vimeachwa.
Leo hii Wizara imetoa tamko la kuzuia mikusanyiko na kuchukua tahadhari dhidi ya Covid 19 ila cha kushangaza Shughuli za mwenge zinaendelea kama kawaida.
Tutegemee mamabukizi na vifo vya kutosha, sio utabiri Bali ni matokeo ya ujinga wa CCM huko wakitumia Polisi kubambika kesi za keshenzi kwa Viongozi wa Upinzani. Na Wallah mtaisha kwa Corona mwaka huu
Hahahahaha tutazika au tunasafirisha?kile kirusi kina kuwa hatari tu endapo mikusanyiko ni ya chadema.ccm ni kichwa cha mwenda wazimu
kutokana na gharama za maisha ukizingatia kuna mikato mingi tuzike tuHahahahaha tutazika au tunasafirisha?
Hahahahaha Mpwa umenivunja mbavukutokana na gharama za maisha ukizingatia kuna mikato mingi tuzike tu