Acheni unafki kwenye ishu za ubaguzi, waafrika ndio tunaongoza kwa kubaguana wenyewe kwa wenyewe, hicho wanachotufanyia ngozi nyeupe hakifikii hata robo ya tunayofanyiana weusi kwa weusi.
Yote haya sababu ya umasikini wa kimwili na akili.
Waafrika tutengeze kwetu na sio kukimbilia kwa watu lakini cha ajabu bado utakuta waafrika wanagombania kwenda huko.
Alafu wakibaguliwa wanaanza kulialia.
Kama ulienda huko kwa maamuzi yako basi acha ubaguliwe tu sababu huna akili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.