Fungu la 10.
Kuna mchungaji yupo pale makumbusho ukumbi wa kisena. Waumini wake ni vibinti vidogo vya 2000s na vivulana pia. Jamaa anaendesha magari makali na brand new kabisa.tena ameyaandika kabisa jina lake au la mkewe. Siku moja nikawaambia MNAONA MAGARI YA MCHUNGAJI.
Haaa walinizomea bhana