Trick mirik
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 555
- 1,290
- Thread starter
- #121
Mmmh!Mtu wa mchongo
Kuna mtu aliwahi kuigiza anamuuzia mahindi ya kuchoma Rais, ajabu akawa na bastola kiunoni. View attachment 2086690
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh!Mtu wa mchongo
Kuna mtu aliwahi kuigiza anamuuzia mahindi ya kuchoma Rais, ajabu akawa na bastola kiunoni. View attachment 2086690
Watanzania siyo wajinga kiasi hiki!Raha Sana Ndugu zangu! Jamaa descent anakaa Na mateja usiku Na mishumaa?
Tv ya mchongo, shuhuda mchongo shida tu, zuluma zuluma Kwenye mitaji ya watu sio vyema!
Duh! kwa hiyo mshumaa tu ndio ulisababisha balaa lote lile?
Watanzania siyo wajinga kiasi hiki!
Clouds wanampenda kutumika Ka toilet paper Choo cha stendi!
Huyo jamaa shuhuda akamatwe, kama mshumaa ulidondoka kwanini hakuukota na kuuzima???
Wameshaanza mambo ya Mo na dereva taxi na SisiTiVi
Tunaandaliwa kisaikolojia ili isiwe surprise, au huenda wanapima upepo, kuona reaction ikoje juu ya hiyo, je, story line wadanganyika wameingia kingi au laah!Dah! We jamaa tumewaza vitu vinafanana hadi nimeshangaa.
Wasitufanye sie wajinga. Kwa watu wanavyopenda kutrend siku hizi ingekua ameshuhudia hilo tukio kama anavyoeleza hapo hizo habari zingepatikana siku hiyo hiyo.
Unawezashangaa vyombo tunavyoviamini vimedhamini hii movie ya shuhuda na ripoti itakuja kutembea mulemule