Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Ndio ukweli namim jaman namasaibu jamani kimoja dk8 tayar nasiwezi kuendelea haki nlale baada ya masaa4 ndo naweza na mke wngu simchangamfu kitandani
 
Mke wangu alikuwa mjamzito, alienda kwao kujifungua na sasa anamtoto mchanga, bado hatujapata mazingira mazuri ya kufanya kwa maana bado yupo kwao, (mkoani)
Tamaa ya ngono itakutenganisha na mtoto wako....adi arudi hisia kwake zitakuwa zimepungua ukiamini kwa side chick una enjoy zaidi....ila ukikaa ukaongea naye, ukamfanyia vile unafanya kwa mchepuko wote mtaenjoy
 
Ni kuondoa kupanika , kupania, na kujianda vizuri kabla ya mchezo auitaji papara wala panic.
 
Dah! Nimeamini kweli mwanaume ni mtalimbo kuwa imara ,kunawadada walikua wanahadithiana kuwa anatoka na mume wamtu very handsome ila akipiga kimoja harudii na kimoja chenyewe dk5 nyingi, akirudia cha pili baadae ya masaa matatu tena dk 5 hafiki mpaka wanashangaa huyo mkewe anaenjy nn sasa then linawivu balaa kwa mumewe.

Uzi mtamu sana huu barikiwa sn kwa kushare hii kitu.
 
Chuma mboga ilikua inakushinda kiuno kilikua kinauma ukiinama et?
 

Mkuu ntafuata maelezo yako mimi mwenyewe nimepoteza msisimko wa ku do kabisa. Miaka 49 sijui kwa sababu sijafanya tendo muda mrefu. Cn mke!
 
Kwa mtazamo wangu. Ni kuji tune tu, ukiweka akilini kua una tatizo la nguvu za kiume lazima ukiwa mchezoni utakua na hali ya kujishtukia shtukia kama unaoga nje. Mimi mla chips mzuri sana tu na wakati wakupiga mechi nachapa utadhan nimemeza viagra. Cha muhimu mazoezi na ule Milo mitatu kwa siku.
 
Maziwa ya huku mjini wanatia maji mno..! Hivyo hayana maajabu
Mimi sinunui tena maziwa ya mgahawani ni maji matupu jana nimechukua numba ya muuza maziwa na leo kaniletea mpaka gheto mida hii hapa nimechemsha nakunywa maziwa fresh huku nasikiliza wimbo wa Upendo Nkone Ame haleluya.
 
Watu waje niwape formula za kuimarisha misuli kwa bei sawa na bure kwa info zaidi nifuate pm.

Alaf utawaletea mrejesho wana jamiiforums.
 
Habari ya sahizi wakuu, poleni na mapambano dhidi ya ugonjwa hatari unaozidi kuleta hofu nchini na duniani.

Katika harakati za maisha tunakumbana na changamoto nyingi hususani sisi wanaume. Japo changamoto zinatofautiana lakini kila mtu amekua na namma ambavyo ameweza kuziepuka.

Hapa nazungumzia changamoto tulizowahi kukutana nazo hasa katika swala la sex, hii imekua changamoto kubwa ambayo wanaume wengi huwa inatupaga stress sana hasa inapotokea kupiga shoo mbovu.

Hali hii hupelekea mabaharia wengi kupata stress na hata kujikuta kuanza kutafuta nani ni mchawi

Binafsi iliwahi kunitokea zaidi ya mara tatu kwa nyakati tofauti kupiga shoo mbovu na kuambulia maneno ya dharau. Aisee nilifedheheka sana hivyo ikanibidi nianze kuhangaika huku na huko nikitafuta suluhu maana nilijua kutakua na shida mahali.

Basi bwana katika kuhangaika nikakutanaga na mzee flani kiumri sio mzee ila age ilikua imeenda nikamuelezea akacheka sana akasema basii.

Akanipa mavumba fulani akanambia nichanganye na uji ninywe aisee ndo ikawa mwisho wa dharau kwakwel.

Je, wewe ulivyokutwa na shida kama hiyo (kushindwa kuhimili tendo la sex) ulichukua hatua gani au uliamua kuachana na hizo mambo na kufanya shughuli zingine.

Tuambizane ili wengine wainuke usingizini.
 
Umeleta kitu cha msingi sana. Ngoja tusubiri wachangiaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…