Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Mihogo sio wanga mkuu?
 
Mabadiliko yanaanza na wewe. Mimi nimeweza kubaki na kg 72 kwa muda zaidi ya miaka 15. Siri kubwa ni mazoezi na kutokula hovyo. Mimi sio mlaji naweza hata kusahau kula.

Nikiongezeka sana 74kg, nikipungua sana 70kg. Kikawaida nakuwa na 72kg
Una urefu gani? Kupungua kilo sio sifa lazima factors zingine uziconside
 
Hongera ulipungua kg 7 ndani ya mwezi....sayansi inasema kadri mtu anachokuwa mnene zaidi ndivyo anapunguza kilo nyingi zaidi
 
Hongera ulipungua kg 7 ndani ya mwezi....sayansi inasema kadri mtu anachokuwa mnene zaidi ndivyo anapunguza kilo nyingi zaidi
 
Asante Sana boss
 
Namshukuru kwa darasa zuri,naomba kuuliza,maji ya uvuguvu na limao ni kweli yanapunguza unene?
 
Hellow. Naomba tusaidie japo mpangilio tuone sample.
 
Mimi sio mnene ila nazingatia tu diet..
1. Situmii soda kabisa
2. Situmii chipsi kabisa
3 Kila siku nakunywa maji lita 2-3
4 Mchana nakula ugali dona, mboga za majani na samaki( nyama huwa naskip)
5. Usiku nanunua tikiti zima na ndizi tano ndo chakula changu cha usiku!
6. Mazoezi mara chache chache
 
Hapo kwenye tikitiki na ndizi fikiria upya,hayo yote Yana sukari sana.Jaribu parachichi na Tango hayana sukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…