mkaamweusi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2013
- 618
- 824
Habari ya wikiendi wadau!!!!!,Kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine,walitumia akili ya kuzaliwa kutatua tatizo la ukosefu wa pesa na saivi maisha yako vizuri,mfano inaweza kuwa kutokana na njaa,ukosefu wa mahala pa kulala ulikufanya uanze kuimba mtaani ili upate pesa ya kula,saivi maisha yapo vizuri,be honest isiwe fabricated testmony(ushuhuda wa kutungwa/uongo) NAJUA KILA MMOJA ANAMAPITO YAKE KIUCHUMI,itasaidia wenzentu kwanza wale wanao sita kufanya maamuzi,au kuwasaidia wale ambao wanapita wakati flani ambao ni mgumu kwao,au pia kuwapa mbinu ya kutoka pale alipo,maana kuna wengine amejiaandaa kila kitu,lakini kuanza tuu kwake ni mtihani mzito!