Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

kuna bwege mmoja nimekutana nae lakini yeye hajui maana naifahamu id yake na mida wote tunakuwa pamoja sana , ni shabiki wa ule uzipendwa.
 
Nilikutana na Mdada flani mwenye akili mingi Sanaa.. Nadhani ndio Mdada mwenye akili plus cash kuliko wote humu jamvini...

Na mkinizingua namtag🤣
Duh sijui alikufanyia nini mpaka kufikia hatua ya kuconclude kuwa mwenye akili nyingi na cash kuliko dada zetu na mama zetu humu.🤔🤔
 
Mkuu kika mtu ana interests zake humu, sasa ukisema uzi pendwa humu unakuwa umewapoteza wengine humu. Labda ungeutaja huo uzi tu bila id yake ingewasaidia hata wasioujua huo uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…