Kwa niaba yake tunasema asante na tunashukuru sana we mzeeYeah nitakuambia nikija kule ,ila humu mko wawili nawaheshimu na kuwakubali sana
Weuweeeeeeeh [emoji847] mzee wake shunie huyoHahahaha Mimi Mzee kweli
1.Mzee umri
2.Mzee afande ,mwela,njagu
Hahahaha, anahisi mm kijana ? Mimi afande nayetarajia kustaafuWeuweeeeeeeh [emoji847] mzee wake shunie huyo
Jana nilimwomba ‘Mzee’ wako ile picha ulovaa chui chui. Ila hakunipa.Weuweeeeeeeh [emoji847] mzee wake shunie huyo
AmenKwa niaba yake tunasema asante na tunashukuru sana we mzee
Hahahaha, picha za Shunie mkuu we za nn ,mm nilikua nazo nimefutaJana nilimwomba ‘Mzee’ wako ile picha ulovaa chui chui. Ila hakunipa.
Samahani mkuu 😄.Hahahaha, picha za Shunie mkuu we za nn ,mm nilikua nazo nimefuta
Hahahaha, hapana siwezi kuwa mkali ,sema nashangaa unaziombaje wkt najua unaweza kupata kupitia kwake mwenyewe au kupitia MTU mwingineSamahani mkuu [emoji1].
Naona umekuwa mkali....kama inayopasa uwe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na mimi nakusubiri tule pamoja mafao ya kustaafu [emoji847]Hahahaha, anahisi mm kijana ? Mimi afande nayetarajia kustaafu
Hahahha Ngabu bwanaJana nilimwomba ‘Mzee’ wako ile picha ulovaa chui chui. Ila hakunipa.
Ewaaa nami nataka iwe hivi ,uzile wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na mimi nakusubiri tule pamoja mafao ya kustaafu [emoji847]
Hivi kweli NN wakuniomba mm picha yako?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka sana mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wake shunie bwanaEwaaa nami nataka iwe hivi ,uzile wewe
Sasa ukaribu wako kwa Shualina utaulinganisha na wangu kweli?Hivi kweli NN wakuniomba mm picha yako?
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wake shunie bwana
Ahhahha kwani alikuomba kweli au Ngabu kaongea tuHivi kweli NN wakuniomba mm picha yako?
Naona leo ‘Mzee’ anajizolea mipointi tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wake shunie bwana
Kweli kabisa, tena naapia..Ahhahha kwani alikuomba kweli au Ngabu kaongea tu
Mmmmh ,huu u karibu ni wa chit chatSasa ukaribu wako kwa Shualina utaulinganisha na wangu kweli?