Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

kazi yao ni kuficha ficha simu wakiwa wanacomment
Ama ulijua vile analafu ukitakakujua anaperuzi jf anakuwa na wasiwasi fulani mara akuangalis miguuni hadi kichwani au anainamia kiti kama analala hivi alafu unaona anatoa tabasam fulani .
Mi kuna mmoja mdada (wakawaida sana )alikuwa anasoma nyuzi jf bila woga wa kujua kama namchora tuu ila anabahati hakukomenti ila alikuwa ameshalog in akazhuka kimara mwisho mi siku hiyo nilipanda dalaldala siku na usafiri wa ofisi[emoji2][emoji2]
 
Kwanini huko chini umemalizia kwa kujitetea kwamba haukupanda usafiri wa ofisi ? Kwani kupanda daladala ni nini mkuu? Ama ndiyo nyie JF kila mtu ana gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…