Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Huku nje kila mtu anaogopa kusema ni mwana -JF

Hiyo kweli, mara nyingi tukifanya discussion kwenye kutafuta reference ukimwambia mtu taarifa ni ya kutoka JF anakushangaa.

Ila binafsi nilishazoea, nataja tu bila shida.

Sema siku hizi kumekuwa na upupu mwingi tofauti na miaka ile humu ilikuwa ni whistleblowing forum na centre ya mijadala umiza kichwa.
 
Nimefurahishwa na stories za warau walionana (kam ni kweli) ila stories za walio wahi kusaidia ni wachache sana.. hii ni kwa sababu urafiki ni hatua inshalaah Mungu awajalie walionana urafik wenu uzid kutamalaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…