ππππKwanini umebold Uzi wako? Yan ni kama vile unatufokea na kutulazimisha tutoe shuhuda wakati we mwenyewe hujatoa.
Edit Uzi wako, weka ushuhuda wako tuone mfano then wachangiaji tuendelee
Kujikubali inatofauti sana na kujishusha au kuwa na maisha ya video. Na siwezi kusema mtu glani atanikimbia kutokana na hsli yangu, hiyo ni juu yake.
The Monk hana maisha ya video ila ana maisha ya jukwaani (JF) ndio maana JF inabaki JF na uhalisia unabaki kuwa uhalisia.
Nnachomaanisha, kujidharau sio jambo zuri.
Hahaha, unasema ? Hahahaha nyie wengine kwani nimesahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo tabia sina.
Nyie wanaume ndo mna tabia hizo.
Yaani kitendo tu cha mtu kupata picha anaitembezaaaaaaaaaa na akitaka kibuyu akinyimwa ndo kabisa hasira anamalizia jukwaani anaweka picha hewani na bla bla kibao.
HahahahaNgoja nijiongeze pm[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ahsante.
Uwe na asubuhi njema.
Hahahaha, Mkuu wewe unaamini huyo ? Hkn ndoto hapoMkuu, ebu acha kuua ndoto za watu...[emoji23][emoji23]
Unawezana na nani?
Naimani yuko tayari ili aikate kiu yake. Just be gentle when you meet such a beautiful creature. Mambo yako yaleee yaweke pembeni ππMuulize huyo Sky Eclat yupo tayari kukutana na Mwanaume mwenye Taabu, Shida na Dhiki kuliko ' Members ' wote hapa Mimi GENTAMYCINE?
hivi picha yangu haujafikishiwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo tabia sina.
Nyie wanaume ndo mna tabia hizo.
Yaani kitendo tu cha mtu kupata picha anaitembezaaaaaaaaaa na akitaka kibuyu akinyimwa ndo kabisa hasira anamalizia jukwaani anaweka picha hewani na bla bla kibao.
Hahahaha, kwa humu sidhani ,labda nje ya humuUnawezana na nani?
Mimi mtu mzima..hapo vipi?
Sns ndo simulizi na sauti?Ndugu yetu huyo uliye mreply ana mawazo mgando kuhusu SNs...
kwani wa nje si ndo wa humu?Hahahaha, kwa humu sidhani ,labda nje ya humu
SNs ( Social Networks)Sns ndo simulizi na sauti?
Uongo wao unategwmea nanintention ya kukutana kwenuDaaah mm numekutana na watu ila wengi waongo
I am flattered The Monk.Sikubahatisha kukupachika u profesa. Unaona ulivyowaza kwa mtazamo wa kipekee? Kwamba huenda anaogopa kupima kina cha maji kwa mguu akaona atumie fimbo.
Lakini ukiwa unapitia pitia nyuzi humu JF utagundua kwamba kuna watu wsmefahamiana au kukutana wakafanya mambo mengi tu ya faida, japo wslioumia nao wapo ila JF ni bahari pana, ukirusha jarufe linaleta samaki na viumbe wengine wasiohitajika kwa kitoweo. Hapo sasa ni ujuzi na ufanisi wa mvuvi. Binafsi nimenufaika sana na JF kwa maeneo mengi japo nimekutana na baadhi ya watu ambao siwezi kuwataja kwa kuwa haina ulazima wala si busara.
Nna kanuni yangu moja rahisi sana, JF inabaki JF na mtaani yanabaki huko huko. Ukiamua kujulisha uma kwamba unanifaham au tumekutana sio mbaya kwa sababu siishi kwa hofu au hatia yoyote. Hivyo basi ni maombi yangu anijalie uwezo wa kupambanua ni watu gani wanajielewa.
Mh! Rafiki, utaweza kukutana na sie wa elimu ya ngumbaro kweli? ( shake well before use). Una ufaham na uelewa wa mambo mengi sana, na kupitia michango yako nimejifunza vingi tu.
Ubarikiwe
sawa dadaππHahaaa mkuu unizoee tu nilivo Yani walah haihusiki na sitiress Wala lolote so relax mkuu, ndio ninavoandika JF