Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Kujikubali inatofauti sana na kujishusha au kuwa na maisha ya video. Na siwezi kusema mtu glani atanikimbia kutokana na hsli yangu, hiyo ni juu yake.

The Monk hana maisha ya video ila ana maisha ya jukwaani (JF) ndio maana JF inabaki JF na uhalisia unabaki kuwa uhalisia.

Nnachomaanisha, kujidharau sio jambo zuri.

Nikijidharau ndiyo sitoenda Mbinguni na Kupokelewa na Mwenyezi Mungu? Heshimu Mtazamo wangu kama vile ninavyouheshimu na wako Sawa?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo tabia sina.
Nyie wanaume ndo mna tabia hizo.
Yaani kitendo tu cha mtu kupata picha anaitembezaaaaaaaaaa na akitaka kibuyu akinyimwa ndo kabisa hasira anamalizia jukwaani anaweka picha hewani na bla bla kibao.
Hahaha, unasema ? Hahahaha nyie wengine kwani nimesahau
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo tabia sina.
Nyie wanaume ndo mna tabia hizo.
Yaani kitendo tu cha mtu kupata picha anaitembezaaaaaaaaaa na akitaka kibuyu akinyimwa ndo kabisa hasira anamalizia jukwaani anaweka picha hewani na bla bla kibao.
hivi picha yangu haujafikishiwa?
 
Sikubahatisha kukupachika u profesa. Unaona ulivyowaza kwa mtazamo wa kipekee? Kwamba huenda anaogopa kupima kina cha maji kwa mguu akaona atumie fimbo.

Lakini ukiwa unapitia pitia nyuzi humu JF utagundua kwamba kuna watu wsmefahamiana au kukutana wakafanya mambo mengi tu ya faida, japo wslioumia nao wapo ila JF ni bahari pana, ukirusha jarufe linaleta samaki na viumbe wengine wasiohitajika kwa kitoweo. Hapo sasa ni ujuzi na ufanisi wa mvuvi. Binafsi nimenufaika sana na JF kwa maeneo mengi japo nimekutana na baadhi ya watu ambao siwezi kuwataja kwa kuwa haina ulazima wala si busara.

Nna kanuni yangu moja rahisi sana, JF inabaki JF na mtaani yanabaki huko huko. Ukiamua kujulisha uma kwamba unanifaham au tumekutana sio mbaya kwa sababu siishi kwa hofu au hatia yoyote. Hivyo basi ni maombi yangu anijalie uwezo wa kupambanua ni watu gani wanajielewa.

Mh! Rafiki, utaweza kukutana na sie wa elimu ya ngumbaro kweli? ( shake well before use). Una ufaham na uelewa wa mambo mengi sana, na kupitia michango yako nimejifunza vingi tu.
Ubarikiwe
I am flattered The Monk.

Binadamu tulivyo ni kwamba ukiniambia tukikutana ni siri ni kama unanipa sababu ya kutangaza tumekutana, inakuwa kama vile una kitu cha ziada hivo lazima dunia ijue nimekutana na mtu mwenye vitu vya ziada. Lakini tukikutana kawaida tu nitakosa sababu ya kutangaza. Kwa nini nitangaze? Nitachukulia kawaida tu.

Lol, tatizo unanipa sifa zisizokuwa zangu, mimi natamani kukutana na wewe ila usiniambie tu nisitangaze. Ukinipa ruhusa ya kukutana na wewe nitashukuru.
 
Hahaaa mkuu unizoee tu nilivo Yani walah haihusiki na sitiress Wala lolote so relax mkuu, ndio ninavoandika JF
sawa dada😀😀
nakuonaga unavowasha moto mpaka nabaki nasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom