Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Kwanini umebold Uzi wako? Yan ni kama vile unatufokea na kutulazimisha tutoe shuhuda wakati we mwenyewe hujatoa.

Edit Uzi wako, weka ushuhuda wako tuone mfano then wachangiaji tuendelee
asitufokeee
 
I am flattered The Monk.

Binadamu tulivyo ni kwamba ukiniambia tukikutana ni siri ni kama unanipa sababu ya kutangaza tumekutana, inakuwa kama vile una kitu cha ziada hivo lazima dunia ijue nimekutana na mtu mwenye vitu vya ziada. Lakini tukikutana kawaida tu nitakosa sababu ya kutangaza. Kwa nini nitangaze? Nitachukulia kawaida tu.

Lol, tatizo unanipa sifa zisizokuwa zangu, mimi natamani kukutana na wewe ila usiniambie tu nisitangaze. Ukinipa ruhusa ya kukutana na wewe nitashukuru.

Profesa hahitaji ruhusa ya kukutana na mwanafunzi wake!
 
Nipo na mshikaji wangu hata leo tulikuwa pamoja,wote tupo humu JF............then ninafahamiana na dada mmoja ambaye ni rafiki yangu pia na mara nyingi tunatembeleana yupo humu.......
 
Watu pekee ambao napenda na natamani sana Kukutana nao kwakuwa ninatamani kuwa ' Genius / Brainy ' kama walivyo Wao na nawakubali sana, japo najua kwa Hadhi yangu ya ' Kikapuku / Kimasikini ' huku Dhiki, Taabu na Majaribu vikiwa ni Sehemu ya Maisha yangu wanaweza Kukataa Kukutana nami ni hawa Wafuatao....

1. Sky Eclat
2. Bila bila
3. kagoshima
4. Baba Swalehe
5. DOUGLAS SALLU
6. The Boss
7. Chakaza

JF ina ' Great Thinkers ' wengi tu na wote nawakubali hata kama wengine sijawataja katika Kikosi changu hiki ila hawa ( 7 ) ni wa Thamani sana tu.
Siku moja insha'Allah
 
Back
Top Bottom