Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Acha kabisa dada.
Nimecheka mno dizain ya huyo mtu ni wale ambao nkitoka kuonana anakuja kukuchanba na id mpya kuwa miguu imepauka kwa vumbi.
Amesahau kwamba sasa hivi ni kipupwe
Mmmmh
 
Habarin Wadau, kufuatia ukuwaji wa sayansi na teknolojia ktk sekta ya mawasiliano kumepelekea ongezeko la matumizi ya mitandao ya kijamii including JF. Mitandao ya kijamii ni platform kukutana na watu mbali mbali na kutengeneza mahusiano, urafiki, biashara n.k.

Je tangu Umeanza kutumia JF Je umewahi kukutana na mtu yeyote na kutengeneza?

A. Urafiki
B. Mahusiano ya kimapenzi
C. Fursa mbalimbali e.g kimasomo, biashara, ajira
Mimi humu nimekutana na mke wangu wa pili sasa.
 
Back
Top Bottom