Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Kuna watu huja PM na kujifanya marafiki mnapiga story kumbe anakudodosa apate mawili matatu, unaishije then baadae anakuja na I'd nyingine kuanzisha Uzi au kuku attack na kusambaza umbeya, Kuna mmoja akapeleka maneno Hadi kwa mahawara zake wa humu ilinishangaza Sana.
In short JF nikutokuzoeana na mtu kabisa wengi humu failures wa life unakuta hakujua anaandika ili aonekane na yeye anakujua sijui kwa faida ya Nani, waache utoto,
Binafsi Kuna watu nafahamiana nao kwa I'd nyingine wanajifanya wema tuna chart kwingine Wana ni attack na vitu vya uongo kwa taarifa siwezi kubadili I'd yangu kisa wasengerema wasiojielewa Nita change tu siku nikijiskia Ila sio kwa wapuuzi wanaojifanya kunijua, hata wakinijua Hadi kisimi I won't change anything.
Watu kueni jamani, great thinker Ila Kuna watu akili Bora za nyumbu, hii platform muhimu ya kushare mawazo sio ujinga woooi,
Muwe na siku njema wote mnaojielewa

Duh, umeandika kwa hisia sana cariha, pole sana.
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Unajishauaaaaaaa!!
Unajiona Chriss Brown au mtoto wa Mobutu eti.
Acha kunibania wewe.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]auntieeeeh nimecheka hadi bas lol, akikubali nistue twende woteeeeh.
 
Nimewahi kuonana na Dinazarde pande za Mwanza jamani huyu dada ni pisi hatari.
Mtoto white, Shepu kajaaliwa . Sasa ukianza kupiga naye story ndio utajua kuna wanawake wamepewa uzuri na akili pia.
Shida yake moja tu anapenda story za umbea
 
Nimewahi kuonana na Dinazarde pande za Mwanza jamani huyu dada ni pisi hatari.
Mtoto white, Shepu kajaaliwa . Sasa ukianza kupiga naye story ndio utajua kuna wanawake wamepewa uzuri na akili pia.
Shida yake moja tu anapenda story za umbea

weeee hatujawah onana pumbavuuu😂😂
Afu umeoa unakutana na wanawake humu wa nini
Sema umewah ona pic yangu tu muone
 
Back
Top Bottom