Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Shuhuda za waliowahi kukutana kupitia JF

Niko Arusha sijawah kukutana na mwana jamiiforums yoyote[emoji34][emoji34]
 
Nilikutana na Khantwe ktk hali ya rohoni, nikamuona kabisaaa! rafiki huyu
 
Sijawahi kukutana na mjeiefu walahi, inabidi nikaogee shombo la maji ya samaki ili ning'arishe nyota labda....[emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom