Shuhudia mechi ya Barca Vs Chelsea kwa kifurushi cha Bomba ndani ya Dstv

Shuhudia mechi ya Barca Vs Chelsea kwa kifurushi cha Bomba ndani ya Dstv

mzigo huoo hapooo twende kazi
Screenshot_20180314-223534.jpg
 
King'amuzi chako ni toleo la mwaka gani?
Kifurushi cha Bomba kina SS200 HD, SS4, SS7 HD, SS8 HD, SS9 na SS10,, DSTV toka mwsho wa mwaka jana hadi mwez huu mwanzoni walikuwa wanatoa ofa ya SS3 HD ambao wanaonesha EPL,, sasa sijui unachobsha ni nn hapo
 
Back
Top Bottom