shuhudia-picha-za-watu-wanaobeba-madawa

shuhudia-picha-za-watu-wanaobeba-madawa

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,383
Reaction score
9,337
miss.jpgmiss2.jpg


BEST IN MWANZA: SHUHUDIA PICHA ZA WATU WANAOBEBA MADAWA YA KULEVYA YAKIWA TUMBONI... NI HATARI SANA

Je ni sahihi kuweka picha za namna hii kwenye mtandao?
 
Lovebird said:
Je ni sahihi kuweka picha za namna hii kwenye mtandao?

...and that is what you just did
 
Taking risk to be rich,ni hatari sana ila wakifanikiwa kutoka umasikini unaweza kuusikia kwenye pipe!:shetani::shetani:
 
mi sijaelewa.....hizo dawa zimetoboa utumbo zikatapakaa.......au imekuwaje......?
 
Hizo picha 2 pamoja na ile ya X-Ray ni za uongo huwezi kuwa na ma-Cupsel mpaka sehemu za kongosho, maini, mapafu, ila kwa picha zilizofuata ni picha za kweli jamaa anapotolewa hiyo mizigo kwenye utumbo mpana na mwembamba ni sahihi kabisa na alikufa.
Hiyo habari ni kweli kabisa hata kwenye Blo ya UDAKU ipo hii BIASHARA IACHWE
SI KOSA KUWEKA PICHA HIZO KWANI NI JUU YAKO KUIFUNGUA HIYO BLOG (T IS YOUR OWN RISK)
 
Back
Top Bottom