Shuhudia 'vibe' la wananchi na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) kutoka viwanja vya furahisha Mwanza

Shuhudia 'vibe' la wananchi na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) kutoka viwanja vya furahisha Mwanza

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Shuhudia 'vibe' la wananchi na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wakiwa katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa kampeni za chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu.

Katika uzinduzi wa kampeni hizo, mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Gombo Samandito Gombo na Mgombea Mwenza wake Husna Abdalla wataanza rasmi kuzinadi sera zao.
 
Back
Top Bottom