Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?

Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?

Attachments

  • IMG-20261001-WA0704.jpg
    IMG-20261001-WA0704.jpg
    63.4 KB · Views: 10
RIP Bonge, Chivayo, isingekuwa ni eddah, kuna mtu angehudhuria maziko!.
"Nimeamini, yanayosemwa na watu, wanaopendwa na wengi, hufa wangali vijana!, huyu ni kijana mdogo kabisa!,
Tena baada ya jimbo kuwa wazi, kuna watu wenye akili fupi, walianza kudhania... !

Kiukweli mimi binafsi nimeumizwa na msiba huu, kwasababu, nilikuwa na jambo langu binafsi na huyu mtu, ila kabla sijamfikia, ndio hivi tena!.

Tulikupenda Chivayo, Mungu amekupenda zaidi!, kuna mtu amefiwa na double deaths!. Pia tumpe Pole!.

Mzee Pasco!,
Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika;
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa salamu zetu za dhati za rambirambi kwa familia za wale wote waliopoteza wapendwa wao pamoja na wananchi
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.

Mimi nilimuanzishia nyuzi mbili humu
1. Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?
2. Kumbe Bonge wa Zimbabwe ni Mtu wa Pisi Kali. Licha ya Kuonekana Tipwa Tipwa, ni Mtu wa Kazi na Anapiga Kazi Kweli Kweli kwenye mambo yetu yale

Japo huyu Bonge, hakuwa Mtanzania, lakini alikuwa rafiki kipenzi na mtu wetu, rafiki na mtu wetu ni rafiki yetu, mtu wetu akifiwa na rafiki yake ni sisi tumefiwa na rafiki yetu!.

Nichukue fursa hii kutoa pole kwa mtu wetu,
Watanzania Tunamlilia!

Rip Bonge za Zimba

Mzee Pasco.
 
Wanabodi

Shuhudieni mambo makubwa mazuri ambayo ni super, ya huyu Bonge wa Zimbabwe, Bilionea Wicknell Chivayo wa Zimbabwe, akifanya mambo makubwa mazuri kwa nchi yake Zimbabwe!,

Hili limjamaa, bonge la Zimbabwe, limekuja hapa nchini kwetu mara 4, likitua airport yetu kwa private jet yake na kwenda moja kwa moja, patakatifu petu na kuonana na yule mpangaji wetu wa patakatifu petu.

Siku anarejea, wafanyakazi na wahudumu wote wa airport hadi wahudumu wa washroom huachia maeneo yao ya kazi kwenda kufoleni kumsindikiza huyo Bonge, ambapo kila aliyepo atashikishwa noti ya dola 100!,hali inayopelekea Private JET ya Bonge ikitua,ni furaha kubwa airport kuliko hata nanilii mwenye nchi,hata wale wafanyakazi ambao wako off,siku hiyo,watakuja kazini ili tuu wasimiss kumuaga Bonge na kushikwa mkono!

Bonge akiishafika nchini kwake, anatupia mapicha kwenye social media pages zake,kuna mwana jf akapandisha mapicha hayo humu jf,baadhi ya mapicha hayo yakimuonyesha bonge akiwa amejiachia yuko very relaxed,huku nyingine zikinuonyesha bonge akiwa bennet na mpangaji wetu,very close at zero distance kumbe ni kosa!,picha za bonge huyu,zikatuponza jf tukafungiwa siku 90!.

Leo nimemuona taarifa ya Ikulu ya Zimbabwe ikieleza mambo mazuri ya Bonge huyu。。。

HEALTH, NEWS

Mnangagwa praises Chivayo ‘golden heart’ as he accepts ambulance donation​

‘He exemplifies the critical role of private sector in complementing government’s efforts’
IMG_6045-1200x800.jpeg
Businessman Wicknell Chivayo donated 10 ambulances to the government

HARARE – President Emmerson Mnangagwa declared on Wednesday that businessman Wicknell Chivayo had a “golden heart” after he donated 10 ambulances and 200,000 litres of fuel worth over $400,000 to the government.

The donation, accepted by Mnangagwa at State House, adds to another 10 ambulances Chivayo donated last year.
Accepting the gift, Mnangagwa lavished praise on the 45-year-old, who is linked to lucrative state contracts.

“This donation has been made possible through the generosity of an astute and maverick young businessman Wicknell Chivayo, who has a golden heart and continues to tirelessly support various key government programmes under Vision 2030, which is anchored on modern healthcare systems that leave no one and no place behind,” Mnangagwa said.

The donation, he added, “exemplifies the critical role of the private sector in complementing government’s efforts to deliver quality services in the health sector.” He challenged private companies to “emulate this gesture and exemplary conduct.”

The ambulances, which Mnangagwa described as “state-of-the-art,” are equipped with respirators, oxygen delivery systems, defibrillators and advanced patient monitoring units.

One will be deployed to each of the country’s ten provinces, and Mnangagwa said the fleet would “strengthen emergency response capacity and improve access to critical healthcare services.”

IMG_6046.jpeg
President Emmerson Mnangagwa tries out one of the ambulances donated by businessman Wicknell Chivayo at State House on March 25, 2026
Chivayo, an incorrigible show-off who owns a private jet and drives Rolls Royces, shot to national fame through eye-popping donations of high-end vehicles and millions of dollars in cash to a confounding mix of celebrities, politicians, church leaders, influencers, football clubs and musicians.

Occasionally, he makes donations that benefit ordinary Zimbabweans – the ambulances among them.

His state contracts are shrouded in mystery, and he is notoriously reticent about how he makes his money, only ever forthcoming about how he spends it。

Swali ambalo waandishi wa Zimbabwe wanajiuliza kuna taarifa nyingi jinsi huyu bonge anavyo mwaga mihela na kutoa misaada ya kijamii, wao swali lao ni wanaona mifweza tuu,ila hawajui source ya hizo fedha anazomwaga kama njugu!.

Kwa upande wa Tanzania tumebakiwa na dukuduku la je hapa kwetu Tanzania huyu bonge amekuja mara 4, hakuna taarifa yoyote,alikuwa anakuja kufanya nini patakatifu petu?!。

Na kwa jinsi hili Bonge,linavyomwaga mihela kila linapopita,je inawezekana trips zote hizo 4 pale patakatifu petu, amekuja bila bila na kuondoka bila bila bila hata kuacha chochote kitu?.

Paskali
I wonder kama ujio wake ulikuwa ni confidential

Nyuma ya pazia kuna kitu

Ipo siku kitawekwa wazi

Wengi wanasema alim replace Lugum
 
I wonder kama ujio wake ulikuwa ni confidential
Hapana ujio wake was not confidential, kwasababu anatimba na ile private jet yake mchana kweupe na kugawa noti za dollar 100 kwa staff wote wa airport, hadi walinzi wanaacha lindo.

Ingekuwa ni confidential, angetimba usiku na kumuona mwenyeji wake kwenye safe houses.

Akifika kweke anatupia mapicha yote kwenye social media page zake.

He was just a flamboyant attention seeker.

Amekuja ikulu yetu 8 times, kati ya hizo, 6 times ni private visits , one was public visit kuleta mahela, na last visit ni compassionate visit kumfariji mfiwa, jimbo liko wazi.
Nyuma ya pazia kuna kitu
Hakuna kitu, ni mtu tuu kamzimikia mtu, kamkubali, anapita kusalimia tuu
P

Bora limekufa!

Bado wewe na huyo Samia wako.

Wewe huna maana yoyote tena hapa duniani.

Na hicho kimkono chako kilichopooza…..ufe tu. Mbwa mwitu wewe.
 
Hapana ujio wake was not confidential, kwasababu anatimba na ile private jet yake mchana kweupe na kugawa noti za dollar 100 kwa staff wote wa airport, hadi walinzi wanaacha lindo.

Ingekuwa ni confidential, angetimba usiku na kumuona mwenyeji wake kwenye safe houses.

Akifika kweke anatupia mapicha yote kwenye social media page zake.

He was just a flamboyant attention seeker.

Amekuja ikulu yetu 8 times, kati ya hizo, 6 times ni private visits , one was public visit kuleta mahela, na last visit ni compassionate visit kumfariji mfiwa, jimbo liko wazi.

Hakuna kitu, ni mtu tuu kamzimikia mtu, kamkubali, anapita kusalimia tuu
P
Kaka Paskali hii sio kumzimikia tu

I tell you kuna kitu ….. either way kime walink hadi na familia ya Rais

Swali la msingi alikuwa anakuja kwa issue gani state na yake makumbato yake na Mama ?

Jamaa amepostiwa hadi kwenye official page ya state

Who was this guy uhusiano wake na Ikulu
 
Nnasiki eti kwamba alikua Mgongaji mzuri wa Milango ya Ikulu iliyofungwa sana bila kuachwa wazi,
 
Kaka Paskali hii sio kumzimikia tu
Dr. Megalo, Megalodon , Rais Samia, zaidi ya kuwa ni rais wetu wa JMT, pia she is a human being, hivyo haizuii mtu yeyote kumzimikia na kuonyesha mahaba kwake, Bonge amemzimikia sio tuu Samia, amemzimikia hata Ruto, Museveni na rais wake Munangangwa ndio usiseme.
Jamaa kwa vile anaujua udhaifu wa wanasiasa wa nchi masikini, na yeye amejaaliwa uwezo to speak 'the universal languange' akatake that advantage na kuingia ikulu yetu anytime, kuja kusalimia tuu!.
I tell you kuna kitu ….. either way kime walink hadi na familia ya Rais
Naomba kuheshimu maoni yako ya kuna kiti kimewalink, lakini na mimi naamini hakuna kitu, ni just ile 'the universal language' alikuwa anakuja kusalimia tuu!.
Swali la msingi alikuwa anakuja kwa issue gani state na yake makumbato yake na Mama ?
Hili ndilo swali la uzi huu, maadam jamaa ametangulia mbele ya haki, naomba hili swali lisiendelee kuulizwa, litatuongezea machungu wafiwa!.
Jamaa amepostiwa hadi kwenye official page ya state

Who was this guy uhusiano wake na Ikulu
Ni mfanyabiashara tajiri mpanda ikulu mbalimbali.
P
 
Kaka Paskali hii sio kumzimikia tu

I tell you kuna kitu ….. either way kime walink hadi na familia ya Rais

Swali la msingi alikuwa anakuja kwa issue gani state na yake makumbato yake na Mama ?

Jamaa amepostiwa hadi kwenye official page ya state

Who was this guy uhusiano wake na Ikulu
Mkuu Megalo, Megalodon hata huyu jamaa, anauliza kama unavyouliza wewe
Huyu jamaa kibonge aliyefariki siku si nyingi ukiwa na akili kidogo tu utagundua ana mambo/mipango isiyo ya kawaida na viongozi wa Afrika.

We mtu anakuja ikulu anajiachia kwenye makochi kama kwake linamkumbatia Samia linavyotaka.

Hapo lazima ujiulize kuna issue gani inaendelea kati yao?

Mambo hayako wazi.

Kama anakuja kibiashara na biashara zipi?mbona haziwekwi wazi.

Lazima kuna vitu vya ajabu lilikuwa linashiriki na viongozi wetu.
Hakuna kitu zaidi ya mahaba!.
P
 
Hakuna kitu zaidi ya mahaba
Yeah ni zaidi ya mahaba.

Tena mahaba ni utani wetu tu watanzania lakini ukweli jamaa hawezi kuwa baba yetu.

Kuna la zaidi ya ubaba lilikuwa linaendelea kati yao.

Kwenye lugha za ishara na saikoloji kukumbatiana inaweza kuwa na maana mbili au tatu.

Ya kwanza ni kuonesha au kuashiria upendo(mahaba) baina ya watu wawili wa jinsia tofauti.

Ya pili ni kuonesha mapatano ya watu waliogombana.

Ya tatu na ya msingi inayopaswa kututafakarisha ni kuonesha mmefanikiwa au mmelishinda jambo kubwa na gumu lililokuwa linawatatiza.

Uliona jinsi Samia alivyomkumbatia kikwete wakati anaondoka siku ya uapisho wake? Lile kumbato lilikuwa linaongea mengi kwa sisi watu wa lugha za ishara.

Kwamba baada ya incident ya Oct 29 Samaia hakuamini kwamba wameshinda(kwa gharama ya kumwaga damu za watanzania wasio na hatia) na hatimaye ameapishwa tena na ni rais.

Tukirudi kwa huyu the late bonge nyanya.

Watu wote wanaingia kumpa pole Samia kwa kupiga magoti na kuinama kuonesha utii na heshima.

Bonge alivyoingia ni kukumbatiana kuonesha kuna kitu kikubwa in common wamefanikisha na mambo yamekaa sawa.

Sasa kitu gani au vitu gani ni siri yao mimi na wewe hatujui.
 
Back
Top Bottom