Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?

Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika;
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa salamu zetu za dhati za rambirambi kwa familia za wale wote waliopoteza wapendwa wao pamoja na wananchi
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.

Mimi nilimuanzishia nyuzi mbili humu
1. Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?
2. Kumbe Bonge wa Zimbabwe ni Mtu wa Pisi Kali. Licha ya Kuonekana Tipwa Tipwa, ni Mtu wa Kazi na Anapiga Kazi Kweli Kweli kwenye mambo yetu yale

Japo huyu Bonge, hakuwa Mtanzania, lakini alikuwa rafiki kipenzi na mtu wetu, rafiki na mtu wetu ni rafiki yetu, mtu wetu akifiwa na rafiki yake ni sisi tumefiwa na rafiki yetu!.

Nichukue fursa hii kutoa pole kwa mtu wetu,
Watanzania Tunamlilia!

Rip Bonge za Zimba

Mzee Pasco.
 
I wonder kama ujio wake ulikuwa ni confidential

Nyuma ya pazia kuna kitu

Ipo siku kitawekwa wazi

Wengi wanasema alim replace Lugum
 
I wonder kama ujio wake ulikuwa ni confidential
Hapana ujio wake was not confidential, kwasababu anatimba na ile private jet yake mchana kweupe na kugawa noti za dollar 100 kwa staff wote wa airport, hadi walinzi wanaacha lindo.

Ingekuwa ni confidential, angetimba usiku na kumuona mwenyeji wake kwenye safe houses.

Akifika kweke anatupia mapicha yote kwenye social media page zake.

He was just a flamboyant attention seeker.

Amekuja ikulu yetu 8 times, kati ya hizo, 6 times ni private visits , one was public visit kuleta mahela, na last visit ni compassionate visit kumfariji mfiwa, jimbo liko wazi.
Nyuma ya pazia kuna kitu
Hakuna kitu, ni mtu tuu kamzimikia mtu, kamkubali, anapita kusalimia tuu
P
Ipo siku kitawekwa wazi

Wengi wanasema alim replace Lugum
 
Bora limekufa!

Bado wewe na huyo Samia wako.

Wewe huna maana yoyote tena hapa duniani.

Na hicho kimkono chako kilichopooza…..ufe tu. Mbwa mwitu wewe.
 
Kaka Paskali hii sio kumzimikia tu

I tell you kuna kitu ….. either way kime walink hadi na familia ya Rais

Swali la msingi alikuwa anakuja kwa issue gani state na yake makumbato yake na Mama ?

Jamaa amepostiwa hadi kwenye official page ya state

Who was this guy uhusiano wake na Ikulu
 
Nnasiki eti kwamba alikua Mgongaji mzuri wa Milango ya Ikulu iliyofungwa sana bila kuachwa wazi,
 
Kaka Paskali hii sio kumzimikia tu
Dr. Megalo, Megalodon , Rais Samia, zaidi ya kuwa ni rais wetu wa JMT, pia she is a human being, hivyo haizuii mtu yeyote kumzimikia na kuonyesha mahaba kwake, Bonge amemzimikia sio tuu Samia, amemzimikia hata Ruto, Museveni na rais wake Munangangwa ndio usiseme.
Jamaa kwa vile anaujua udhaifu wa wanasiasa wa nchi masikini, na yeye amejaaliwa uwezo to speak 'the universal languange' akatake that advantage na kuingia ikulu yetu anytime, kuja kusalimia tuu!.
I tell you kuna kitu ….. either way kime walink hadi na familia ya Rais
Naomba kuheshimu maoni yako ya kuna kiti kimewalink, lakini na mimi naamini hakuna kitu, ni just ile 'the universal language' alikuwa anakuja kusalimia tuu!.
Swali la msingi alikuwa anakuja kwa issue gani state na yake makumbato yake na Mama ?
Hili ndilo swali la uzi huu, maadam jamaa ametangulia mbele ya haki, naomba hili swali lisiendelee kuulizwa, litatuongezea machungu wafiwa!.
Jamaa amepostiwa hadi kwenye official page ya state

Who was this guy uhusiano wake na Ikulu
Ni mfanyabiashara tajiri mpanda ikulu mbalimbali.
P
 
Mkuu Megalo, Megalodon hata huyu jamaa, anauliza kama unavyouliza wewe
Hakuna kitu zaidi ya mahaba!.
P
 
Hakuna kitu zaidi ya mahaba
Yeah ni zaidi ya mahaba.

Tena mahaba ni utani wetu tu watanzania lakini ukweli jamaa hawezi kuwa baba yetu.

Kuna la zaidi ya ubaba lilikuwa linaendelea kati yao.

Kwenye lugha za ishara na saikoloji kukumbatiana inaweza kuwa na maana mbili au tatu.

Ya kwanza ni kuonesha au kuashiria upendo(mahaba) baina ya watu wawili wa jinsia tofauti.

Ya pili ni kuonesha mapatano ya watu waliogombana.

Ya tatu na ya msingi inayopaswa kututafakarisha ni kuonesha mmefanikiwa au mmelishinda jambo kubwa na gumu lililokuwa linawatatiza.

Uliona jinsi Samia alivyomkumbatia kikwete wakati anaondoka siku ya uapisho wake? Lile kumbato lilikuwa linaongea mengi kwa sisi watu wa lugha za ishara.

Kwamba baada ya incident ya Oct 29 Samaia hakuamini kwamba wameshinda(kwa gharama ya kumwaga damu za watanzania wasio na hatia) na hatimaye ameapishwa tena na ni rais.

Tukirudi kwa huyu the late bonge nyanya.

Watu wote wanaingia kumpa pole Samia kwa kupiga magoti na kuinama kuonesha utii na heshima.

Bonge alivyoingia ni kukumbatiana kuonesha kuna kitu kikubwa in common wamefanikisha na mambo yamekaa sawa.

Sasa kitu gani au vitu gani ni siri yao mimi na wewe hatujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…