Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,772
Definitely on point brother. We once had a LEADER. Uzuri kuna disciples wake wengi sana amewaacha. Tutapata mwengine kama yeye na zaidi.A true son of Africa...a man who has proven to be hard to forget..kila nikitembea ktk inchi yangu hii pendwa nakutana na kazi zake zikiongea zenyewe, natabasamu kanyaga mafuta nikijipa moyo kua we once had a great leader, a man of his word mtu wa kazi..kwa hizi tozo na mikopo tuliyopokea within 2yrs angezipata yy nadhani angeupiga mwingi mara 3 zaidi ya alivyoupiga mwingi ktk miaka yake mitano.