Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu nini mkuu?Una maoni gani mkuu
Maoni ya kukosoa utaratibu wa kusubiria wachezaji shamba la bibi ama Kwa mchina yako palepale.Nchimbi kacheza more than two premier league seasons and for more than two premier league teams kama kuna scouting kwanini hakuonekana hadi alipocheza Dar? Ni wangapi wako kama Nchimbi na hawajaonekana?Big mind discuss issues not individuals and not incidences.Hawezi kuwa na maoni, aliko huko ametepeta vilivyo..!
Eeeh!
Kaonwa kupitia Mechi moja tu?
[/QUOTEndio hivyo
Nimemuona jana Mtani.Timu ya Taifa ya Sudan imempaisha mpaka anga za Kimataifa...![emoji23]
Ni kweli mkuu. Kutumbukiza mpira golini huwa mtu hafundishwi ni kipaji mtu anazaliwa nacho. Unaweza fika mara kumi golini ndani ya hatua sita usifunge goli hata moja mwenzio akafika nje ya kumi nane mara moja tu akafunga goli. Kwa wale waliocheza mpira hata madaraja ya chini au shuleni wanajua hili jambo, pale golini sijui huwa kunawekwa nini kinachopteza utulivu kwa washambuliaji yaani unaweza kukokota mpira ukawapiga chenga mabeki wote ukabaki na kipa halafu ukapiga nje. Ukifuatilia ligi kuu bara utaona kuna mafowadi wawili tena wa kimataifa sipendi kuwataja wao wanacheza vizuri sana lakini inapofika kutumbukiza tu mpira golini sehemu ambayo mtoto wa miaka mitatu anaweza kuugusa ukaingia lakini wao kwao inakuwa utata kiasi ambacho unaweza sema labda wamelogwa. Lakini hapana wao si wamaliziaji bali wao ni washambuliaji machachari ambao wanahitaji awepo mmaliziaji kati yao wao wampe tu assist.Unaona mbali mkuu