Kwa sasa tulipofikia mashujaa ni wale wanaolamba miguu wazungu kwa kukimbilia huko kwao kushitaki ndugu zao.Wasaliti msikie hili.
Mashujaa bado wapo..Kwa sasa tulipofikia mashujaa ni wale wanaolamba miguu wazungu kwa kukimbilia huko kwao kushitaki ndugu zao.
Na mashujaa ni wale wanaokesha twira kutukana ndugu zao, ili kuwafurahisha wazungu.
Mkuu wala usitake ubishani kwanza inabidi ikubali kua ni shujaa huo uchawi ni teknolojia tu ambayo hyo bibi yetu aliutumia
Mkuu wala usitake ubishani kwanza inabidi ikubali kua ni shujaa huo uchawi ni teknolojia tu ambayo hyo bibi yetu aliutumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa kaka. Ni ukweli mtupu ulichoeleza cha kuongezea ni kwamba adi leo pale ilipokua nyumba yake hakuna kitu chochote au jengo lililojengwa kwa sababu kila pakijengwa jengΓ² huwa lina dondoka.
Sasa brooo huku ni kututukanaa wanyaturuu angalia kauli zakoo
Mkuu kwani uchawi ni tusi?kila jamii wachawi wapo .....any way mnisamehe wanyaturu shemeji zanguSasa brooo huku ni kututukanaa wanyaturuu angalia kauli zakoo
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Tabia ya wanyaturu ya kusaliti hata kama wote muko pamoja kumbe ni ya damuni, huyo mnyaturu mwenzake aliyemsaliti alifanya vibaya sana sasa hivi historia inamuhukumu na kizazi chake.Najaribu kufanya connection ya dot. na hali ya sasa hivi wasaliti bado wapo kwenye hiyo kabila ya wanyaturu.Serikali ya Mkoa wa Singida imefanya uamuzi wa kubadili jina la uwanja wa mpira wa MAMFUA STADIUM na sasa umepewa jina la LITTI STADIUM ikiwa ni hatua muhimu za kumuenzi mwanamke shujaa wa Singida aliyepigana na wakoloni wa Kijerumani kwa kutumia nyuki kama silaha ya mapambano.
LITTI alikuwa ni mwanamke shujaa aliyepigana na Wajerumani kwa kulinda himaya ya Wanyaturu akipinga utaratibu wa kupora ng'ombe, kupora nafaka, kutumikisha watu na kutoza kodi uliofanywa na wakoloni wa Kijerumani miaka ya 1907 - 1910.
Mwanamke huyu alifanikiwa kuwashinda Wajerumani kwenye mapambano mawili kwa kuwafurumushia nyuki na kuwaua baadhi ya askari ya Kijerumani. Pambano la tatu LITTI alisalitiwa na mtu wake wa karibu aliyetoa siri kwa Wajerumani na kufanikiwa kumkamata na kumchinja.
Kichwa cha mwanamke huyu kilichukuliwa kupelekwa Ujerumani hadi leo hakijarejeshwa Tanzania.
Tunaendelea kuwaibua mashujaa wetu ili waweze kutambuliwa na kuenziwa kwenye historia ya mkoa wa Singida na nchi yetu.
alikuwa mchawi, kama ilivyo kwa wanawake wa kanda hiyo
ππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Kumbee nip na SHEMEJIIMkuu kwani uchawi ni tusi?kila jamii wachawi wapo .....any way mnisamehe wanyaturu shemeji zangu
kubadili
Serikali ya Mkoa wa Singida imefanya uamuzi wa kubadili jina la uwanja wa mpira wa MAMFUA STADIUM na sasa umepewa jina la LITTI STADIUM ikiwa ni hatua muhimu za kumuenzi mwanamke shujaa wa Singida aliyepigana na wakoloni wa Kijerumani kwa kutumia nyuki kama silaha ya mapambano.