Shujaa wangu ni Tajiri Peter Zacharia aliyewamiminia risasi Watu wasiojulikana. Baadaye Ikajulikana walikuwa Usalama wa Taifa

Hao walipelekwa bank kutoa fedha kwa lazima
 
Paragraph 2 za mwisho zimenifanya nirudi juu kabisa kule ili nione, bandiko hili ulilibandika lini? Nilivoona November 2024, utamu wote wa uzi ukawa ni kama wali uliotiwa mafuta ya taa, nimelidharau andiko lote hasa kwa Paragraph ya mwisho kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…