Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitoe ushamba. King size ndo ipiKing size inaanza 12-15000 ...tunasafirisha mkuu
Daah shuka hii nzuri mpaka basiView attachment 460198 ni cotton mkuu
Mtelezo ni 4000-6000 kwa shuka moja bila kujali ukubwa
Ukipata inayofanana fanana na hii basi unikumbukenilishaiuza kitambo
Okeysi hizi za magodoro manene wenyewe wanaita 7*8
Nikipata na foronya zake mbili ntashukuru. Bei yake inakuwaje?ok
sawa ngoja nisave kabisa,
Haya mama ntasubiriaitategemea na ukubwa ila kwa aina hiyo ni kati ya 10,000-15,000. zikiwa na foronya zake ni 15,000 kamili.
Ukileta na mm nataka aina hyo shukaHaya mama ntasubiria
Litandike hili hornet kam lip nilione likiwa limetandikwa
Mashuka ya mtumba hayowhatsap sijapata ujumbe mpya boss tumia 0714893685
namba ni hizi hizi siku zote mkuu
Nimelipenda mnoo please nitandikie jingine nilionehili nimeliuza tayari my dear,ngoja nikutandikie jengine ulione