pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hayawi hayawi huwa. Baada ya wakenya kumtafuta rais wao kwa muda mrefu sana hatimaye leo hii amepatikana. Rais Uhuru Kenyatta awapa motisha na kuwatakia mema Harambee Stars. Hii mechi imemsisimua Rais Uhuru sana nimeona wakicheza 'one touch' hapo ikulu na waziri, CS Amina Mohammed. Harambee Stars mkituangusha mjifukie humo humo uwanjani kama fuko.