So bitRed black Vincenzo Jr Dr am 4 real PhD
Kwa kuwa bwna min -me ana nyota ya kupendwa pendwa humu JF basi atatusaidia ku- recruit warembo wa JF wawepo, mtoto kama Mallerina na waifu material , kubaaaaaabeki🍑🍑!!!, bia ni juu yetu wasijali😂😂
Wapi nimependwa bwashee? ,Red black Vincenzo Jr Dr am 4 real PhD
Kwa kuwa bwna min -me ana nyota ya kupendwa pendwa humu JF basi atatusaidia ku- recruit warembo wa JF wawepo, mtoto kama Mallerina na waifu material , kubaaaaaabeki🍑🍑!!!, bia ni juu yetu wasijali😂😂
😀😃😃😃Hahaha hapana mkuu , jamaa kanikubali tu kivyake 😅 ila siku nikiokota pesa nita mbless bwashee
Kumbe min ake ana nyota ya kupendwa na hamsemi!Red black Vincenzo Jr Dr am 4 real PhD
Kwa kuwa bwna min -me ana nyota ya kupendwa pendwa humu JF na warembo wazuri basi atatusaidia ku- recruit warembo wa JF wawepo, mtoto kama Mallerina na waifu material , kubaaaaaabeki🍑🍑!!!, bia ni juu yetu wasijali😂😂
Hapana ningependwa ningepewa ?Kumbe min ake ana nyota ya kupendwa na hamsemi!
Alafu ephen anakupenda kisiri siri unajua😂Hapana ningependwa siningepewa ?
The Zanzibar Echo min me haamini uwepo wa MUNGU.Naam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.
Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.
Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.
Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
Mimi napenda kila mtu bwashee , ephen ni rafiki yangu na ana akili njema mekuAlafu ephen anakupenda kisiri siri unajua😂
Umekosa bahati! Nilitaka nikupeMimi napenda kila mtu bwashee , ephen ni rafiki yangu na ana akili njema meku
Kaone, utanipa hata mbinguni nyau wewe.Umekosa bahati! Nilitaka nikupe
Kuwepo wapi mkuu😀Red black Vincenzo Jr Dr am 4 real PhD
Kwa kuwa bwna min -me ana nyota ya kupendwa pendwa humu JF na warembo wazuri basi atatusaidia ku- recruit warembo wa JF wawepo, mtoto kama Mallerina na waifu material , kubaaaaaabeki🍑🍑!!!, bia ni juu yetu wasijali😂😂
Kaka mimi na tanesco wap na wap bwashee 🤣🤣🤣Kaka wewe si upo kitengo pale tanesko wapigie simu wawashe umeme huku kigamboni
Kaone, utanipa hata mbinguni nyau wewe.
😅😅😅 pombe zangu ni mlima mrefu acha hizo🤣Mimi tena niache kukupa pombe
Kaka 🤣🤣
Naomba ujiMimi tena niache kukupa pombe
MkuuNaomba uji
Kuna hii pombe mpya inaitwa ice tropez😅 wala sina mambo mengi mimi