Ngoma Mungu katutegesha kwenye ngono. Vifaa hivyo vinaeneza ndio ila asilimia ni ndogo sana. Ingekuwa hivyo kila mwanaume anayekwenda saluni ya kiume ungekuta tumeathirika
Napenda kuwashukuru wana JF wote kwa ushirikiano wenu na upendo wenu wa dhati kwangu. Mwaka Jana mwezi wa 12 nilileta uzi wangu nikiomba ushauri juu ya HIV