Shukrani: Baada ya kujikata na wembe wa muathirika wa VVU nimepima na kukutwa 'negative'

Shukrani: Baada ya kujikata na wembe wa muathirika wa VVU nimepima na kukutwa 'negative'

Ngoma Mungu katutegesha kwenye ngono. Vifaa hivyo vinaeneza ndio ila asilimia ni ndogo sana. Ingekuwa hivyo kila mwanaume anayekwenda saluni ya kiume ungekuta tumeathirika
 
Habari zenu wapendwa?

Napenda kuwashukuru wana JF wote kwa ushirikiano wenu na upendo wenu wa dhati kwangu. Mwaka Jana mwezi wa 12 nilileta uzi wangu nikiomba ushauri juu ya HIV

tembocard

Senior Member
Profile Page Start a Conversation Follow
Ignore
Member Since: Jan 31, 2018 Messages: 183
Likes Received: 79 Trophy Points: 45 Liked:

Uongo huu mwisho ni lini. Heti mwaka jana alileta uzi
 
Ulikaa dk 2 ndomana nilikuwa nachanganyikiwa ila Leo nilivyongea na doctor kaniambia virus vinakaa nje ya damu kwa sekunde 5 tu
Lakini havifi..... vikiingia kwenye damu (host) vinazinduka.
 
Back
Top Bottom