Shukrani kwa Jamii Forums kwa kunipa Tuzo ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Hongera sana Mheshimiwa unastahili umekuwa unatumia platform hii kwa faida ya watanzania wengi.

Nipende kukupongeza pia kwa namna ulivopendeza. Kuna namna ulionekana tofauti sana jana. Kuanzia nywele mpaka mavazi hakika ulichagua kupendeza. Pongezi nyingi.. Unawafanha watu wanakuwa huru mno na kiongozi wao. Kongole nyingi sana.
 
Dkt. Gwajima D ni ombi letu watanzania serikali iweze kuwalea walemavu nchini, hasa wenye ulemevu ambao hawawezi kujishugulisha na kazi za vipato including wenye matatizo ya akili. Huwa naumia sana nikiangalia kiwango cha kodi ninachotoa halafu nakutana na mlemavu hana hata miundombinu ya kumuwezesha kuishi anakuwa omba omba wakati serikali yao ipo. Yes tunajua pia kuna wajanja wanawatumia kwenye u omba omba lakini kuna sehemu kama taifa kupitia wizara yako serikali inaweza ikafanya kitu angalau hata community houses, matibabu, chakula na wanakuwa na uangalizi maalumu.
 
Hongeraaaa sanaa Dkt. Gwajima D
 

Your the best
 
Congrats mama, u deserve it
 
Wengi wapo busy na hawana muda wala hobby wengine pia ni ant-technology.

Ni furaha Sana kua na viongozi Kama dkt.gwajima D.
Kwa dunia ya sasa, trust me ni wanadamu wachache sana watakuwa busy kukosa mda wa kuingia online. Wengi wanaogopa maoni hasi ya wananchi ndio maana hawataki kuja kwa platforms kama hii. Mbona kule X wamejaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ