Memories and molly
Member
- Sep 11, 2024
- 46
- 64
Hhh jamii forum bnWewe mshangazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhh jamii forum bnWewe mshangazi
Mfano ni maoni na mambo gani amewahi kupokea yakafanyiwa kaziBado sijaona kiongozi anayepokea ishu/ maoni kupitia digital platforms na kuzifanyia kazi zaidi yako.
I hope hii tuzo itawaamsha na wengine.
Hongera Mheshimiwa.
Yes,Kwa dunia ya sasa, trust me ni wanadamu wachache sana watakuwa busy kukosa mda wa kuingia online. Wengi wanaogopa maoni hasi ya wananchi ndio maana hawataki kuja kwa platforms kama hii. Mbona kule X wamejaa?
Mhe. Wazir kuna huyu wa kuitwa JOYCE KIRIA huoni ama kusikia mafundisho yake? Anamwaga sumu ambayo ni chanzo cha kuvunja Ndoa na mfarakano katika Jamii fanya jambo kwa huyu dada. Kama yeye alivunja ndoa zake asitumie Vyombo vya Habari na Umaarufu wake kueneza Maadili yake binafsi mabovu kwa Umma.Salaam kwenu wanajukwaa.
Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa tuzo hii ya kipekee.
Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia majukwaa ya kidijitali.
Pia, ni heshima kwa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyeniamini na kunipa nafasi na fursa ya kutumikia jamii kupitia wizara hii ya maendeleo ya jamii jinsia wanawake na makundi maalumu.
Vilevile, heshima hii iende kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu na watumishi wake wote na wale wa kisekta ambao, hupokea na kuyafanyia kazi maelekezo yangu kufuatia maoni na hoja za wananchi ambazo nimekuwa nimezipokea kutoka kwenye Jukwaa la Jamii Forums.
Vilevile, Heshima hii iende kwa familia yangu na mume wangu mpenzi Advocate Gwajima ambaye, amekuwa akinipa ushirikiano mkubwa wakati wote wa kutumia hata muda wa familia kwa ajili ya kufuatilia hoja za wananchi kwenye Jukwaa hili.
Naahidi kuendelea kujitahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Wananchi ili kuhakikisha sauti zote zinasikilizwa na kufanyiwa kazi inapowezekana.
Kila mmoja wetu ana nafasi muhimu katika mchakato wa uamuzi, na ni wajibu wetu kama viongozi kusikiliza na kujibu yale yanayohitaji majibu ya wananchi.
Tunapofanya kazi pamoja, tunafanikisha kuchochea maendeleo na kuboresha maisha ya wananchi wetu.
Ningependa kutoa shukrani za pekee kwa Jamii Forums (JF) na watanzania kwa ujumla kwa utambuzi huu.
Majukwaa kama JF ni muhimu kwa ajili ya kuleta uwazi na ushirikiano, na ni matumaini yangu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kujenga jamii bora zaidi.
Shukrani nyingi kwenu wanaJukwaa wote na wote ambao mmewahi kutoa hoja kuhusiana na eneo langu la kazi, kwani hakika, mmekuwa sababu ya mimi kupata Tuzo hii adhimu. Naomba tuendelee kuwa pamoja katika safari hii ya maendeleo.
Mbarikiwe🙏🏽🇹🇿
😂 kwa heshima ya Mh. Naomba nisitie neno kwenye maneno yako.Hongera Kwa tuzo Mheshimiwa Waziri
Pamoja na tuzo hiyo, naomba niseme Jana ulipendeza sana
Ulifanya haraka haraka nivae miwani yangu ya macho vizuri pale ukumbini ili nikuone pasipo mawaa 🤗
Kuwa na imani na Wazee 🤗😂 kwa heshima ya Mh. Naomba nisitie neno kwenye maneno yako.
ikependeza Dkt. Gwajima D awe rais ajae ety?Mimi sina doubt na huyu mama. Ningependa kumuona anaendelea kwenye uongozi kwa miaka mingi ikiwezekana.
Nna imani nao sana babu ila sio hapo kwenye miwani.Kuwa na imani na Wazee 🤗
Nna imani nao sana babu ila sio hapo kwenye miwani.
Naunga mkono hoja kuna haja ya serikali kulifanyia kazi hili, watu wa makundi maalum wanateseka sana kwenye jamii kuna makundi mengine hayaguswi kabisa kwa kupata huduma.Dkt. Gwajima D ni ombi letu watanzania serikali iweze kuwalea walemavu nchini, hasa wenye ulemevu ambao hawawezi kujishugulisha na kazi za vipato including wenye matatizo ya akili. Huwa naumia sana nikiangalia kiwango cha kodi ninachotoa halafu nakutana na mlemavu hana hata miundombinu ya kumuwezesha kuishi anakuwa omba omba wakati serikali yao ipo. Yes tunajua pia kuna wajanja wanawatumia kwenye u omba omba lakini kuna sehemu kama taifa kupitia wizara yako serikali inaweza ikafanya kitu angalau hata community houses, matibabu, chakula na wanakuwa na uangalizi maalumu.
Swali chonganishi hilo unataka nigombane na babu😂muulizee hakuchukua namba?