Shukrani kwa Jamii Forums kwa kunipa Tuzo 🙏🏽

Salaam kwenu wanajukwaa.

Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa tuzo hii ya kipekee.

Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia majukwaa ya kidijitali.
Pia, ni heshima kwa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyeniamini na kunipa nafasi na fursa ya kutumikia jamii kupitia wizara hii ya maendeleo ya jamii jinsia wanawake na makundi maalumu.

Vilevile, heshima hii iende kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu na watumishi wake wote na wale wa kisekta ambao, hupokea na kuyafanyia kazi maelekezo yangu kufuatia maoni na hoja za wananchi ambazo nimekuwa nimezipokea kutoka kwenye Jukwaa la Jamii Forums.
Vilevile, Heshima hii iende kwa familia yangu na mume wangu mpenzi Advocate Gwajima ambaye, amekuwa akinipa ushirikiano mkubwa wakati wote wa kutumia hata muda wa familia kwa ajili ya kufuatilia hoja za wananchi kwenye Jukwaa hili.

Naahidi kuendelea kujitahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Wananchi ili kuhakikisha sauti zote zinasikilizwa na kufanyiwa kazi inapowezekana.
Kila mmoja wetu ana nafasi muhimu katika mchakato wa uamuzi, na ni wajibu wetu kama viongozi kusikiliza na kujibu yale yanayohitaji majibu ya wananchi.

Tunapofanya kazi pamoja, tunafanikisha kuchochea maendeleo na kuboresha maisha ya wananchi wetu.
Ningependa kutoa shukrani za pekee kwa Jamii Forums (JF) na watanzania kwa ujumla kwa utambuzi huu.

Majukwaa kama JF ni muhimu kwa ajili ya kuleta uwazi na ushirikiano, na ni matumaini yangu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kujenga jamii bora zaidi.

Shukrani nyingi kwenu wanaJukwaa wote na wote ambao mmewahi kutoa hoja kuhusiana na eneo langu la kazi, kwani hakika, mmekuwa sababu ya mimi kupata Tuzo hii adhimu. Naomba tuendelee kuwa pamoja katika safari hii ya maendeleo.

Mbarikiwe🙏🏽

Mbarikiwe🙏🏽🇹🇿
Hongera mhe, dr gwajima D. Mwenyezi Mungu azid kukujaza uwezo na hekima🙏.
 
Ndiyo ujifunze na wewe kuoa PisiKali ambayo ni smart pia upstairs

We hujifunzi Kwa sisi Wazee wenu pia tulivyoweza kupoint visu😜
Ndio hadi nipate binti anaetoka kwenye familia ya watu smart upstairs kama ya mheshimiwa. Huku mtaani kwetu wamejaa wavaa vijora tu familia yote inachamba hadi baba mzazi anajua kusuta.
 
Salaam kwenu wanajukwaa.

Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa tuzo hii ya kipekee.

Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia majukwaa ya kidijitali.
Pia, ni heshima kwa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyeniamini na kunipa nafasi na fursa ya kutumikia jamii kupitia wizara hii ya maendeleo ya jamii jinsia wanawake na makundi maalumu.

Vilevile, heshima hii iende kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu na watumishi wake wote na wale wa kisekta ambao, hupokea na kuyafanyia kazi maelekezo yangu kufuatia maoni na hoja za wananchi ambazo nimekuwa nimezipokea kutoka kwenye Jukwaa la Jamii Forums.
Vilevile, Heshima hii iende kwa familia yangu na mume wangu mpenzi Advocate Gwajima ambaye, amekuwa akinipa ushirikiano mkubwa wakati wote wa kutumia hata muda wa familia kwa ajili ya kufuatilia hoja za wananchi kwenye Jukwaa hili.

Naahidi kuendelea kujitahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Wananchi ili kuhakikisha sauti zote zinasikilizwa na kufanyiwa kazi inapowezekana.
Kila mmoja wetu ana nafasi muhimu katika mchakato wa uamuzi, na ni wajibu wetu kama viongozi kusikiliza na kujibu yale yanayohitaji majibu ya wananchi.

Tunapofanya kazi pamoja, tunafanikisha kuchochea maendeleo na kuboresha maisha ya wananchi wetu.
Ningependa kutoa shukrani za pekee kwa Jamii Forums (JF) na watanzania kwa ujumla kwa utambuzi huu.

Majukwaa kama JF ni muhimu kwa ajili ya kuleta uwazi na ushirikiano, na ni matumaini yangu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kujenga jamii bora zaidi.

Shukrani nyingi kwenu wanaJukwaa wote na wote ambao mmewahi kutoa hoja kuhusiana na eneo langu la kazi, kwani hakika, mmekuwa sababu ya mimi kupata Tuzo hii adhimu. Naomba tuendelee kuwa pamoja katika safari hii ya maendeleo.

Mbarikiwe🙏🏽🇹🇿
Hongera sana
 
Mheshimiwa hauna baya, hongera sana.Samahani hauna binti mwenye miaka kuanzia 24?
Nataka tutengeneze ujamaa wa kweli.
 
Back
Top Bottom