Na shape inachangia. Shukran kwa Mola wetuNi kweli Mkuu, alipendeza sana
Aliyemwandalia mavazi ya Jana ukumbini anahitaji kupewa pongezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na shape inachangia. Shukran kwa Mola wetuNi kweli Mkuu, alipendeza sana
Aliyemwandalia mavazi ya Jana ukumbini anahitaji kupewa pongezi
Nilitaka niseme hivyo ila nilihofia Vijana wangesema Wazee hatuna adabu 🤗Na shape inachangia. Shukran kwa Mola wetu
Salaam kwenu wanajukwaa.
Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa tuzo hii ya kipekee.
Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia majukwaa ya kidijitali.
Pia, ni heshima kwa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyeniamini na kunipa nafasi na fursa ya kutumikia jamii kupitia wizara hii ya maendeleo ya jamii jinsia wanawake na makundi maalumu.
Vilevile, heshima hii iende kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu na watumishi wake wote na wale wa kisekta ambao, hupokea na kuyafanyia kazi maelekezo yangu kufuatia maoni na hoja za wananchi ambazo nimekuwa nimezipokea kutoka kwenye Jukwaa la Jamii Forums.
Vilevile, Heshima hii iende kwa familia yangu na mume wangu mpenzi Advocate Gwajima ambaye, amekuwa akinipa ushirikiano mkubwa wakati wote wa kutumia hata muda wa familia kwa ajili ya kufuatilia hoja za wananchi kwenye Jukwaa hili.
Naahidi kuendelea kujitahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Wananchi ili kuhakikisha sauti zote zinasikilizwa na kufanyiwa kazi inapowezekana.
Kila mmoja wetu ana nafasi muhimu katika mchakato wa uamuzi, na ni wajibu wetu kama viongozi kusikiliza na kujibu yale yanayohitaji majibu ya wananchi.
Tunapofanya kazi pamoja, tunafanikisha kuchochea maendeleo na kuboresha maisha ya wananchi wetu.
Ningependa kutoa shukrani za pekee kwa Jamii Forums (JF) na watanzania kwa ujumla kwa utambuzi huu.
Majukwaa kama JF ni muhimu kwa ajili ya kuleta uwazi na ushirikiano, na ni matumaini yangu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kujenga jamii bora zaidi.
Shukrani nyingi kwenu wanaJukwaa wote na wote ambao mmewahi kutoa hoja kuhusiana na eneo langu la kazi, kwani hakika, mmekuwa sababu ya mimi kupata Tuzo hii adhimu. Naomba tuendelee kuwa pamoja katika safari hii ya maendeleo.
Mbarikiwe🙏🏽🇹🇿
Huyu waziri hatuna ugomvi nae kabisa, wanajukwaa wote tulishakubaliana na hiloHongera
Ova
Hongera saana madam, Barikiwa.Salaam kwenu wanajukwaa.

Daa Dkt. Gwajima D kapendeza kuliko wote, huyu mama ni murembo sanaDada ulipendeza sana aisee...hongeraaa
SanaDaa Dkt. Gwajima D kapendeza kuliko wote, huyu mama ni murembo sana
Hongera sana mhe.WaziriSalaam kwenu wanajukwaa.
Ningependa kuwashukuru Jamii Forums (JF) kwa tuzo hii ya kipekee.
Ni fahari yangu kutambuliwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi kupitia majukwaa ya kidijitali.
Pia, ni heshima kwa Serikali ya Awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyeniamini na kunipa nafasi na fursa ya kutumikia jamii kupitia wizara hii ya maendeleo ya jamii jinsia wanawake na makundi maalumu.
Vilevile, heshima hii iende kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu na watumishi wake wote na wale wa kisekta ambao, hupokea na kuyafanyia kazi maelekezo yangu kufuatia maoni na hoja za wananchi ambazo nimekuwa nimezipokea kutoka kwenye Jukwaa la Jamii Forums.
Vilevile, Heshima hii iende kwa familia yangu na mume wangu mpenzi Advocate Gwajima ambaye, amekuwa akinipa ushirikiano mkubwa wakati wote wa kutumia hata muda wa familia kwa ajili ya kufuatilia hoja za wananchi kwenye Jukwaa hili.
Naahidi kuendelea kujitahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na Wananchi ili kuhakikisha sauti zote zinasikilizwa na kufanyiwa kazi inapowezekana.
Kila mmoja wetu ana nafasi muhimu katika mchakato wa uamuzi, na ni wajibu wetu kama viongozi kusikiliza na kujibu yale yanayohitaji majibu ya wananchi.
Tunapofanya kazi pamoja, tunafanikisha kuchochea maendeleo na kuboresha maisha ya wananchi wetu.
Ningependa kutoa shukrani za pekee kwa Jamii Forums (JF) na watanzania kwa ujumla kwa utambuzi huu.
Majukwaa kama JF ni muhimu kwa ajili ya kuleta uwazi na ushirikiano, na ni matumaini yangu kuwa tutaendelea kushirikiana katika kujenga jamii bora zaidi.
Shukrani nyingi kwenu wanaJukwaa wote na wote ambao mmewahi kutoa hoja kuhusiana na eneo langu la kazi, kwani hakika, mmekuwa sababu ya mimi kupata Tuzo hii adhimu. Naomba tuendelee kuwa pamoja katika safari hii ya maendeleo.
Mbarikiwe🙏🏽🇹🇿
Mama unakitu kichwani, sema tatizo nchi inaongozwa na kuti kavu.. 😑😑Salaam kwenu wanajukwaa.

Appreciation is the best prayer.Salaam kwenu wanajukwaa.

Bila kuwasahau watembeza likes, wanastahili kupewa heshima hapa jf. 😋😋Lini kutakua na tuzo kwa sisi wazee wa kucomment?
Coz uzi unakua uzi kutokana na comment zetu,so hata sisi tuna mchango wetu kwenye nyuzi za hao washindi.