SHUKRANI: Kwa JF Doctor Members

SHUKRANI: Kwa JF Doctor Members

mimi43

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
410
Reaction score
422
Asanteni sana wadau, mnamo wiki chache zilizopita nilikuja hapa kuomba msaada juu ya rafiki angu aliyekuwa na tatizo ambalo mliliita BAWASILI (au HEMORRRHOID kama wengine mlivopenda kuita kwa kitaalamu zaidi).​
Lengo ni kuleta mrejesho kuwa aliyekuwa mgonjwa amepona kabisa na amenipa shukrani za kipekee, kwa hiyo nikaona sio vema kubaki nazo mwenyewe hizo shukrani bila kushiriki nanyi. Hii yote ni ule ushauri wenu niliuchukua na kumpatia kama ulivo na yeye alizingatia ipasavyo huku akihimizwa na mimi.​
N.B: Mwenye tatizo sio mimi, na mimi ni ME ila mwenye tatizo alikuwa jinsi tofauti na mimi, maana hamkawii kunilazimisha niwe mimi mkidai watu wa-Jf hawaumwi ila ni rafiki zao 😉😉😀. AhksanteSana.​
 
Dawa gani iliyomsaidia?
 
usilazimishe watu wakuelewe, wakuelewe au wasikwlewe poa tu.
 
Asanteni sana wadau, mnamo wiki chache zilizopita nilikuja hapa kuomba msaada juu ya rafiki angu aliyekuwa na tatizo ambalo mliliita BAWASILI (au HEMORRRHOID kama wengine mlivopenda kuita kwa kitaalamu zaidi).​
Lengo ni kuleta mrejesho kuwa aliyekuwa mgonjwa amepona kabisa na amenipa shukrani za kipekee, kwa hiyo nikaona sio vema kubaki nazo mwenyewe hizo shukrani bila kushiriki nanyi. Hii yote ni ule ushauri wenu niliuchukua na kumpatia kama ulivo na yeye alizingatia ipasavyo huku akihimizwa na mimi.​
N.B: Mwenye tatizo sio mimi, na mimi ni ME ila mwenye tatizo alikuwa jinsi tofauti na mimi, maana hamkawii kunilazimisha niwe mimi mkidai watu wa-Jf hawaumwi ila ni rafiki zao 😉😉😀. AhksanteSana.​

Mbona suala la kusema mwenye tatizo hilo siyo Wewe na la Jinsia yako umeyawekea sana mkazo? Wahenga walisema kuwa ' mficha uchi hazai ' nadhani hawakukurupuka tu kuja na huu msemo.
 
Dawa ya hii kitu ni simple saana, yaani huyeyuka ndani ya wiki hasa ile bawasiri inayo anza. kunywa maji mengi saaana kwa siku (3-5 Litres), kula matunda mengi kwa siku, kukalia maji ya vuguvugu yaliyo changanywa na chumvi,, kula Dona kwa wingi
 
Asanteni sana wadau, mnamo wiki chache zilizopita nilikuja hapa kuomba msaada juu ya rafiki angu aliyekuwa na tatizo ambalo mliliita BAWASILI (au HEMORRRHOID kama wengine mlivopenda kuita kwa kitaalamu zaidi).​
Lengo ni kuleta mrejesho kuwa aliyekuwa mgonjwa amepona kabisa na amenipa shukrani za kipekee, kwa hiyo nikaona sio vema kubaki nazo mwenyewe hizo shukrani bila kushiriki nanyi. Hii yote ni ule ushauri wenu niliuchukua na kumpatia kama ulivo na yeye alizingatia ipasavyo huku akihimizwa na mimi.​
N.B: Mwenye tatizo sio mimi, na mimi ni ME ila mwenye tatizo alikuwa jinsi tofauti na mimi, maana hamkawii kunilazimisha niwe mimi mkidai watu wa-Jf hawaumwi ila ni rafiki zao 😉😉😀. AhksanteSana.​
Asante kwa mrejesho... Umefanya vema sana
 
Mbona suala la kusema mwenye tatizo hilo siyo Wewe na la Jinsia yako umeyawekea sana mkazo? Wahenga walisema kuwa ' mficha uchi hazai ' nadhani hawakukurupuka tu kuja na huu msemo.
nitakapohitaji kuzaa sitaficha uchi GENTAMYCINE
 
Uzoefu wa hili jf inaonesha watu wanamatatizo lakini huwa tunawazingizia marafiki na jamaa ndio wenye matatizo.
ni kweli kabisa ndo maana kuepusha hayo nikaweka angalizo proxy
 
Back
Top Bottom